Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Yule jamaa ni mbaba?Hapa nakataaa, huyu baba kazi yake kuvamia mtu na kujifanya anakujua huku ana kukarimu ukijaa bas kinakulambaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule jamaa ni mbaba?Hapa nakataaa, huyu baba kazi yake kuvamia mtu na kujifanya anakujua huku ana kukarimu ukijaa bas kinakulambaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo jamaa yupo kweli na anatumiaUkute jamaa huyu aliyeanzisha mada ni baba wa mtu nyumbani
Hata mbwa mwenye mafunzo hawezi kula kitu anachopewa na mtu asiemjua.
Unatembea zako ghafla unaitwa,
Zinaanza stori "Vipi, bwana habar za siku nyingi, bado unaish pale pale au"... Mda huo huelewi chochote kombe linajazwa juice basi inadhani ni ukarimu
Mnaendelea na story unajua pengine labda mliishi eneo moja huku ukizidi kuvuta picha umkumbuke.
Mwisho wa siku anakwambia "Ahsante kwa kunichangia, hiyo buku tu"
Pia Soma - Jeshi la polisi limebariki huu wizi Kariakoo?
Huyo ni mfanya biashara ya juice wapo wanao nunua wenyewe bila hiyo mbinu ila pia anatumia hiyo mbinu ya kukusemesha kama anakujua ana kutaka umuungishe kwenye juice.Hata mbwa mwenye mafunzo hawezi kula kitu anachopewa na mtu asiemjua.
Kitendo cha kupigishwa story kizembe zembe alafu unapewa juisi huo nao ni uzwazwa ..Huyo jamaa yupo kweli na anatumia
Hiyo mbinu kweli.na sasa hivi wameongezeka wanao fanya hivyo wapo zaidi ya 3 hapo hapo karume. Juice yenyewe ni chafu anatengenezea getoni ni muhuni kuna maeneo mengine anapiga pesa kwa kutumia ukada wake wa CCM
Uwezi kujua kuwa anakupigisha story kizembe yeye ana kusalimia kama anakujua ... tumia akiliKitendo cha kupigishwa story kizembe zembe alafu unapewa juisi huo nao ni uzwazwa ..
Mbona tunapishana nao kila siku mkuu wangu..
Hao wana kukadiria alafu wanakuona wewe boya
Na wewe unaanza kumchekea kama unamjua.. tumia akili..Uwezi kujua kuwa anakupigisha story kizembe yeye ana kusalimia kama anakujua ... tumia akili
Jamaa atakwambia tumia akiliUtakunywaje juice kishamba hivo barabarani? Utakuwa na uhakika Gani kama hiyo juice imeandaliwa vizuri? Kunywa juisi sehemu ambayo unaona mazingira yake ni masafi
Kwa hiyo ulitaka nikimbie na kumwogopa mm siyo muoga kama wewe ninso uwezo wa kumsoma mtu na kumcharenji ndiyo maana najua mbinu nyingi kukuzidi. Mtu akija kukuuliza kitu chochote wewe usiye zwazwa unakimbia kama mtoto mdogo ila sisi wenye akili tuna mstadi na kumsoma kwa kutumia akili ...kuna faida yake kunasiku niliwanasa majambazi baada ya kujaribu kuni charenji kwa maneno...na vibaka nimesha wanasa kibao ..usidhani mtu kuwa na akili ni kukimbia watu usio wajua wanapo kusemesha ...mbinu hiyo unayo tumia wewe huwa tuna wafundisha watoto wadogo kuitumia ...siyo watu wazima.ninaweza kukuwekea hapa visa 10 ambavyo wewe usinge weza kuchomoka hata siku moja.Na wewe unaanza kumchekea kama unamjua.. tumia akili..
Kwani anakulazimisha....
Daaah hapo mkuu nimekuelewa sana...Kwa hiyo ulitaka nikimbie na kumwogopa mm siyo muoga kama wewe ninso uwezo wa kumsoma mtu na kumcharenji ndiyo maana najua mbinu nyingi kukuzidi. Mtu akija kukuuliza kitu chochote wewe usiye zwazwa unakimbia kama mtoto mdogo ila sisi wenye akili tuna mstadi na kumsoma kwa kutumia akili ...kuna faida yake kunasiku niliwanasa majambazi baada ya kujaribu kuni charenji kwa maneno...na vibaka nimesha wanasa kibao ..usidhani mtu kuwa na akili ni kukimbia watu usio wajua wanapo kusemesha ...mbinu hiyo unayo tumia wewe huwa tenawafundisha watoto wadogo kuitumia siyo watu wazima.
Yes is trueThis is result of habit of eating and drinking randomly! How on earth people think they can eat for free?
I can not get to that trap because i don drink randomly……
Kuna mbinu mbili za kijasusi au za kihalifu ...1) nikuonekana mshamba 2)ni kuonekana smart na mjuaji hadi watu kukutukuza ...hivyo usidhalau kumwona mtu mshamba au usimtukuze mtu kwa kumwona smart ....visa vilivyo nikuta kuhusu watu kuni charenji vilitumia hizo mbinu mbili zote na wakashindwa maana hata mimi nazitumia hata hapa JF wakati mwingina najifanya mshamba au mjinga kumbe nina shabaa zangu ..Daaah hapo mkuu nimekuelewa sana...
Japo sometimes hayo mambo unafanya ukiwa na mda.
Sasa assume mi nina mitikasiyangayangu kibao alafu nianze kusima mara nimdadisi huyu au yule kweli nitafanikisha lililoniplka kule mkuu..?
Hatukatai kumsalimia mtu je hii ya kukupa juisi na wee unachukua unazungumziaje mkuu...?