Wakazi wa Dar, ulishawahi kuitwa na kuingia kwenye mfumo wa huyu muuza juice pale Karume?

Wakazi wa Dar, ulishawahi kuitwa na kuingia kwenye mfumo wa huyu muuza juice pale Karume?

Watu wa dar mnapenda sana kula kula,kuna vitu vinahitaji usafi wa hali ya juu kwenye uandaaji wake
Endeleeni na hizo tabia zenu mtakunywa na mi..jo watu wapo after money
 
Watu wa daslam mnaendekeza sana tumbo mtapewa sumu mfe kama kuku, we unapewa juice na mtu usiemfahamu kwakua una njaa njaa zako na wewe unajidai unamjua kisa tu unafikiri utakunywa juice bure
 
Ukute jamaa huyu aliyeanzisha mada ni baba wa mtu nyumbani
Huyo jamaa yupo kweli na anatumia
Hiyo mbinu kweli.na sasa hivi wameongezeka wanao fanya hivyo wapo zaidi ya 3 hapo hapo karume. Juice yenyewe ni chafu anatengenezea getoni ni muhuni kuna maeneo mengine anapiga pesa kwa kutumia ukada wake wa CCM
 
Unatembea zako ghafla unaitwa,

Zinaanza stori "Vipi, bwana habar za siku nyingi, bado unaish pale pale au"... Mda huo huelewi chochote kombe linajazwa juice basi inadhani ni ukarimu

Mnaendelea na story unajua pengine labda mliishi eneo moja huku ukizidi kuvuta picha umkumbuke.

Mwisho wa siku anakwambia "Ahsante kwa kunichangia, hiyo buku tu"

Pia Soma - Jeshi la polisi limebariki huu wizi Kariakoo?
Hata mbwa mwenye mafunzo hawezi kula kitu anachopewa na mtu asiemjua.
 
Hata mbwa mwenye mafunzo hawezi kula kitu anachopewa na mtu asiemjua.
Huyo ni mfanya biashara ya juice wapo wanao nunua wenyewe bila hiyo mbinu ila pia anatumia hiyo mbinu ya kukusemesha kama anakujua ana kutaka umuungishe kwenye juice.
 
Huyo jamaa yupo kweli na anatumia
Hiyo mbinu kweli.na sasa hivi wameongezeka wanao fanya hivyo wapo zaidi ya 3 hapo hapo karume. Juice yenyewe ni chafu anatengenezea getoni ni muhuni kuna maeneo mengine anapiga pesa kwa kutumia ukada wake wa CCM
Kitendo cha kupigishwa story kizembe zembe alafu unapewa juisi huo nao ni uzwazwa ..
Mbona tunapishana nao kila siku mkuu wangu..

Hao wana kukadiria alafu wanakuona wewe boya
 
Kitendo cha kupigishwa story kizembe zembe alafu unapewa juisi huo nao ni uzwazwa ..
Mbona tunapishana nao kila siku mkuu wangu..

Hao wana kukadiria alafu wanakuona wewe boya
Uwezi kujua kuwa anakupigisha story kizembe yeye ana kusalimia kama anakujua ... tumia akili
 
Utakunywaje juice kishamba hivo barabarani? Utakuwa na uhakika Gani kama hiyo juice imeandaliwa vizuri? Kunywa juisi sehemu ambayo unaona mazingira yake ni masafi
 
Na wewe unaanza kumchekea kama unamjua.. tumia akili..
Kwani anakulazimisha....
Kwa hiyo ulitaka nikimbie na kumwogopa mm siyo muoga kama wewe ninso uwezo wa kumsoma mtu na kumcharenji ndiyo maana najua mbinu nyingi kukuzidi. Mtu akija kukuuliza kitu chochote wewe usiye zwazwa unakimbia kama mtoto mdogo ila sisi wenye akili tuna mstadi na kumsoma kwa kutumia akili ...kuna faida yake kunasiku niliwanasa majambazi baada ya kujaribu kuni charenji kwa maneno...na vibaka nimesha wanasa kibao ..usidhani mtu kuwa na akili ni kukimbia watu usio wajua wanapo kusemesha ...mbinu hiyo unayo tumia wewe huwa tuna wafundisha watoto wadogo kuitumia ...siyo watu wazima.ninaweza kukuwekea hapa visa 10 ambavyo wewe usinge weza kuchomoka hata siku moja.
 
Kwa hiyo ulitaka nikimbie na kumwogopa mm siyo muoga kama wewe ninso uwezo wa kumsoma mtu na kumcharenji ndiyo maana najua mbinu nyingi kukuzidi. Mtu akija kukuuliza kitu chochote wewe usiye zwazwa unakimbia kama mtoto mdogo ila sisi wenye akili tuna mstadi na kumsoma kwa kutumia akili ...kuna faida yake kunasiku niliwanasa majambazi baada ya kujaribu kuni charenji kwa maneno...na vibaka nimesha wanasa kibao ..usidhani mtu kuwa na akili ni kukimbia watu usio wajua wanapo kusemesha ...mbinu hiyo unayo tumia wewe huwa tenawafundisha watoto wadogo kuitumia siyo watu wazima.
Daaah hapo mkuu nimekuelewa sana...
Japo sometimes hayo mambo unafanya ukiwa na mda.

Sasa assume mi nina mitikasi yanga yangu kibao alafu nianze kusima mara nimdadisi huyu au yule kweli nitafanikisha lililoniplka kule mkuu..?

Hatukatai kumsalimia mtu je hii ya kukupa juisi na wee unachukua unazungumziaje mkuu...?
 
This is result of habit of eating and drinking randomly! How on earth people think they can eat for free?
I can not get to that trap because i don drink randomly……
 
This is result of habit of eating and drinking randomly! How on earth people think they can eat for free?
I can not get to that trap because i don drink randomly……
Yes is true
 
Mimi hata ukinisalimia kwa kunipa mkono tu nakukaushia sembuse unipe na juisi ninywe!? Sehemu pekee ambapo napokea mkono wa stranger ni kanisani tena wakati wa misa. Watz tuishi kwa machale.
 
Daaah hapo mkuu nimekuelewa sana...
Japo sometimes hayo mambo unafanya ukiwa na mda.

Sasa assume mi nina mitikasi yanga yangu kibao alafu nianze kusima mara nimdadisi huyu au yule kweli nitafanikisha lililoniplka kule mkuu..?

Hatukatai kumsalimia mtu je hii ya kukupa juisi na wee unachukua unazungumziaje mkuu...?
Kuna mbinu mbili za kijasusi au za kihalifu ...1) nikuonekana mshamba 2)ni kuonekana smart na mjuaji hadi watu kukutukuza ...hivyo usidhalau kumwona mtu mshamba au usimtukuze mtu kwa kumwona smart ....visa vilivyo nikuta kuhusu watu kuni charenji vilitumia hizo mbinu mbili zote na wakashindwa maana hata mimi nazitumia hata hapa JF wakati mwingina najifanya mshamba au mjinga kumbe nina shabaa zangu ..
Wapo matapeli wana fanikiwa kukutapeli kwa kujifanya wao washamba na kukufanya wewe huamini kwa moyo wako wote kuwa wao ni washamba .. wakisha kukuaminisha hivyo ndipo wanapo kutapeli kirahisi kabisa baadae wewe unakuja kugundua kuwa walijifanya washamba ili wakutapeli...siku zote mimi napenda kuonekana nisivyo ili nipate kuwatega watu wanao jaribu kunitega mimi.
 
Back
Top Bottom