Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
- Thread starter
-
- #41
Ukijiangalia kabisa unajiona hustahili kuwepo nafasi uliyopo ila ndo utafanyaje ushaumbuka.Wewe ndiye mjinga kwa sababu hujui unabishana na nani, na hujui unabishania nini; una upeo finyu kiasi kwamba hujui hata Wilaya yako ni ipi!
Nimefanyeje tenaHalafu wewe[emoji23]
Comment yakoNimefanyeje tena
PoleWewe ni punguani maana sielewi hata unachobishania ni nini? Ina maana Tegeta A iko matumbi? Au hata hujui kama wanapaita Goba Tegeta A. Mbwa wahedi
Siyo rahisi uelewe kwa sababu mwenyewe huelewekiWewe ni punguani maana sielewi hata unachobishania ni nini? Ina maana Tegeta A iko matumbi? Au hata hujui kama wanapaita Goba Tegeta A. Mbwa wahedi
Anayemwambia yuko ufaransa,akitoka huko anawaza aende wapi.Comment yako
Anaenda kuangalia barabara za Tegeta AAnayemwambia yuko ufaransa,akitoka huko anawaza aende wapi.
Kinondoni ipi hio mkuu?Naona kinondoni mitaa hot yote sahivi lami inarudishwa iwe kama zamani
Kinondoni itabaki kuwa kinondoni
Ova
MmmmhNaona kinondoni mitaa hot yote sahivi lami inarudishwa iwe kama zamani
Kinondoni itabaki kuwa kinondoni
Ova
We jamaa ni mjinga sana, ni mjinga sana. Yani kichwani mwako humo ji empty kabisa. Haya mpaka leo hyo barabara imejengwa. Wew unafikiri kwa kutumia tumbo, huko kichwani ni kweupe kabisa1. Tegeta A ipo Jimbo la Kibamba na siyo Jimbo la Ubungo kwa hiyo Mbunge wa Ubungo hahusiki na eneo hilo.
2. Mimi ni dereva bajaji na ninamiliki bajaji. Katika udereva wangu nimegundua kwamba bajaji inahitaji njia nzuri kuliko vyomvo vingine vya moto ambavyo pia nimewahi kuviendesha. Kwa hiyo hoja kwamba Mwenyekiti wa Mtaa hataki kutengeneza barabara kwa sababu ya bajaji zake ni hoja dhaifu sana.
3. Nimewahi kuishi Tegeta A na nimefanya kazi kadhaa za CCM na Serikali huko: Mwenyekiti wa sasa ninamjua vizuri na namna anavyojitahidi kuleta maendeleo huko Tegeta A. Kwa hiyo ukiniambia anahujumu miradi mimi ninakataa.
4. Wakazi na wenyeji wa Tegeta A na mabingwa wa Majungu kwa viongozi wao. Hata Diwani wa hapo Mh. Ester anapigwa majungu eti kwamba kwa kuwa yeye ni wa Kinzudi basi maendeleo anapeleka kwake. Mara anaambiwa anataka kuanzisha kata nyingine ya Kinzudi kwa hiyo anawabagua Tegeta A.
5. Pamoja na hayo, Manispaa ya Ubungo imepokea pesa za Mradi wa DMDP kwa ajili ya miundombinu ya barabara kwa hiyo bila shaka zitafika huko.
Kinondoni garden(nyuma ya mango garden)Kinondoni ipi hio mkuu?
Alikua anatetea cheo chake. Katupigia kelele humu hadi saizi barabara tunazolalamikia hazijajengwa. Alafu wanataka kugombea tena vyeo.We jamaa ni mjinga sana, ni mjinga sana. Yani kichwani mwako humo ji empty kabisa. Haya mpaka leo hyo barabara imejengwa. Wew unafikiri kwa kutumia tumbo, huko kichwani ni kweupe kabisa
Sasa povu la nini? Jenga hoja!We jamaa ni mjinga sana, ni mjinga sana. Yani kichwani mwako humo ji empty kabisa. Haya mpaka leo hyo barabara imejengwa. Wew unafikiri kwa kutumia tumbo, huko kichwani ni kweupe kabisa
Unataka hoja ganj na barabara haijajengwa tangu ilivyoahidiwa kujengwa. Au wew unaona kuna lami huko kwenu?Sasa povu la nini? Jenga hoja!