Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
- Thread starter
- #41
Ukijiangalia kabisa unajiona hustahili kuwepo nafasi uliyopo ila ndo utafanyaje ushaumbuka.Wewe ndiye mjinga kwa sababu hujui unabishana na nani, na hujui unabishania nini; una upeo finyu kiasi kwamba hujui hata Wilaya yako ni ipi!
Hata akili unazotumia sio za kichwani bali makalioni.
Kwa hiyo hoja nzima unai crash kisa mipaka ya jimbo😂 hoja ni barabara na nime specify kabisa SERIKALI YA MTAA WA GOBA. Ningesema mtaa wa kibamba nayo ungesemaje? Wahusika mshajitaja na kazi mtafanya. Kinachofata ni kuja kuchukua video ya hizo njia tumpelekee mama samia kabisa aone uozo wenu. Na tutahoji wananchi na ushahidi juu kuhusu mnavyowajibu kuhusu vibali vya barabara