A
Huko king'ongo Napo ndo wapi?Wakazi wa Kimara King'ongo tumekuwa tukiteseka kwa kukosa huduma ya maji. Tangu maji yalipotoka Juni Mosi baada ya kulalamika Makao Makuu, hayajatoka tena.
Hili si jambo la kwanza kutokea. Mara nyingi hatupati maji hadi tupige simu na kulalamika, kana kwamba huduma hiyo ni ya bure. Cha kushangaza zaidi, hakuna hata tangazo la kutoa tahadhari au taarifa kuhusu tatizo hilo.
DAWASA Ubungo hawaonyeshi kujali wateja wao, na inaonekana hawatambui kuwa kwa kukosa kutoa huduma wanajinyima mapato kupitia bili. Mwishowe, wananchi wanaendelea kubambikiwa bili wakati hawajapata huduma ya maji.
Kimara King'ongo.
Wakazi wa Kimara King'ongo tumekuwa tukiteseka kwa kukosa huduma ya maji. Tangu maji yalipotoka Juni Mosi baada ya kulalamika Makao Makuu, hayajatoka tena.
Hili si jambo la kwanza kutokea. Mara nyingi hatupati maji hadi tupige simu na kulalamika, kana kwamba huduma hiyo ni ya bure. Cha kushangaza zaidi, hakuna hata tangazo la kutoa tahadhari au taarifa kuhusu tatizo hilo.
DAWASA Ubungo hawaonyeshi kujali wateja wao, na inaonekana hawatambui kuwa kwa kukosa kutoa huduma wanajinyima mapato kupitia bili. Mwishowe, wananchi wanaendelea kubambikiwa bili wakati hawajapata huduma ya maji.
Kimara King'ongo.
Njia ya kuelekea Matosa kutokea Kimara Mwisho kupitia njia ya ofisi za TRAHuko king'ongo Napo ndo wapi?
Yaani hata sie wa mabibo maji yanatoka mara moja kwa mwezi mabibo hostel yote hiyo mpaka unakaa unajiuliza ubungo maji kweli iliitwaje hapo🤔Wakazi wa Kimara King'ongo tumekuwa tukiteseka kwa kukosa huduma ya maji. Tangu maji yalipotoka Juni Mosi baada ya kulalamika Makao Makuu, hayajatoka tena.
Hili si jambo la kwanza kutokea. Mara nyingi hatupati maji hadi tupige simu na kulalamika, kana kwamba huduma hiyo ni ya bure.
Cha kushangaza zaidi, hakuna hata tangazo la kutoa tahadhari au taarifa kuhusu tatizo hilo.