mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 7,922
- 3,618
mwibhebhe wanaume wanazikamataga tu kirahisi kama mbuziNadhani jamaa anadhani ni rahisi tu kumuua Nyati kwa panga na rungu. Kwa tunaoufahamu huo muziki yaani Nyati akishajeruhiwa tu anageuka kuwa Mbogo. Hapo ndo muziki hukolea, ama zake ama zako.
Siyo rahisi mkuu, huyo Mnyama akikasirika hapawezi kutosha.Wanaume walishindwa kumtengua wakamla nyama?
Waliouwa sio watu wa wanyamapori ndg. Ni wale jamaa wenye defender wanaozunguka mitaani kisaka vibaka na majambaziNilivyoona tu kuna Mnyama Pori kaonekana nikajua ufumbuzi pekee walionao Watu wetu ni kumuua.
Hivi hawa Maofisa wa Wanyama Pori huwa hawana kabisa mafunzo ya kukamata Wanyama walioingia kwenye makazi ya Watu?. yaani kuua iwe ni hatua ya mwisho?.
alitokea kicheche watu wakasema ni tiger[emoji197][emoji197][emoji38][emoji38][emoji38]Yote yanawezekana. Ila hayo maeneo kuna mapori sana.wala si jambo la kushangaza kuona wanyama pori..
Mbaya asije kutokea simba au chui itakuwa habari nyingine
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kabisa ni hatari sana,inabidi waziri wa ardhi na makazi atoe tamko watu waondoa mapori DSM ,atoe tamko la mwezi kama hawajavyeka na kuendeleza wanyang'anywe.Yote yanawezekana. Ila hayo maeneo kuna mapori sana.wala si jambo la kushangaza kuona wanyama pori..
Mbaya asije kutokea simba au chui itakuwa habari nyingine
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kweli ni issue hiyo,huwa aangalii channel za wanyama nini? NYATI anajulikana kabisa kichwa/sura na mapembe yalivyokaa tofauti kabisa na Ng'ombe original.Alafu nilichogundua bado kuna watu wengi wanatatizo la kutambua aina za wanyama pori,huyu mama baada ya kudondokea pembeni kanyanyuka anasema amepigwa push na ng'ombe,
Kabisa ni hatari sana,inabidi waziri wa ardhi na makazi atoe tamko watu waondoa mapori DSM ,atoe tamko la mwezi kama hawajavyeka na kuendeleza wanyang'anywe.
Inatisha kweli inabidi lile pori basi walizungushie fensi kama walivyofanya milerani kama limetoa hadi NYATI kuna possibility ya kuwa na wanyama wengine wakali.Hayo mambo raia tumeshalalamika sana lakini wapi.
Mtu mmoja ana miliki heka 300 na kuendelea..
Ngoja pale msitu wa pande siku waamue kuuondoa uone wanyama watakao toka pale tutakimbiana
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] eti ng'ombeAlafu nilichogundua bado kuna watu wengi wanatatizo la kutambua aina za wanyama pori,huyu mama baada ya kudondokea pembeni kanyanyuka anasema amepigwa push na ng'ombe,
Wewe unamjua vizuri nyati au unamsikia tuu. Kwa sisi tuliozaliwa kwenye maneno ya karibu na hifadhi za taifa tunaujua mziki wa nyati. Ana hasira mpaka machozi yanamtoka.Sasa kapigwa risasi kwa kosa lipi? Kwanin isingetumika njia nzr kumrudisha au angepigwa risasi asizi then wahusika waje kufanya namna ya kumrudisha anakostail..
Tamu sana, kama uko Dar nikuelekeze palipo na buchaHivi nyama ya nyati inaliwa?
Hata hao maliasili hawana tofauti, kuna boko aliwahi kutoroka hifadhini maeneo ya Morogoro kilichomkuta ni kupigwa risasi, tukio la pili ni nyani waliwahi kumwokota mtoto aliyekuwa katupwa jalalani, hawa nyani wakawa wanamlea, ila baadae ndio baadae ikagundilika ni binadamu, katika zoezi la kuwanyang'anya huyo mtoto nyani walilianzisha, kilichoamua matokeo ni nyani kupigwa risasi. Kwa matukio hayo ni wazi hawa askari hawana tofauti.Tatizo ni kutokiwepo kwa kikosi cha wanyamapori. Hao anti robbery akilli zao zipo kukaba kaba tu ndo wamefikiria kumuua nyati na sio kumkamata na kumkabidhi kwa kikosi cha wanyamapori
Hata nyati wanajua kuwa DSM ni mikoaniDa! Bado kuna wanyama pori DSM? Au ndio ndagu za uchaguzi
Huwa wanapigwa sindano za kuwatuliza (trangulizers) na ujeuri wote unakata, kwani wanatibiwa vipi?Inatokeaga wanaua mnyama kama huyo ni hatari kumrudisha adi porini alikotoka na hayuko katika kundi, ivi unajua mziki wa Buffalo kweli?
Duh[emoji849]Tamu sana, kama uko Dar nikuelekeze palipo na bucha
Ndugu yangu watu kila kitu siasa. Nyati sio mnyama wa mzaha... hana urafiki kabisa. Kule Ngorongoro kesi za nyati kujeruhi masai ni nyingi sana... bora Simba kuliko Nyati. Wasingemuwahi angeleta madhara makubwa ikiwamo vifo.wewe mtaalam wa mtandaoni, nyati katinga kwenye makazi ya watu na ameshasababisha hasara na madhara kadhaa kwa mifugo, askari wa wanayamapori wana kambi gani dsm hapa!!!! si wanaishi porini kwenye wanyama huko??
igetokea ameua mtu, ungekuwa wakwanza kuuliza polisi wanaowahi mikutano ya tundu lissu walikuwa wapi mpaka anaua watu!!!!
Mbogo ndio huyo huyo nyatihasa akiwa mbogo.....
Yule ni nyati tu....labda alikurupushwa huko.....akapotezana na kundi.....hakustaili kuuwawa.......