Kwani mkuu bei ndogo inatokana na mfumo wa stakabadhi ghalani au bei ya soko la dunia kushuka?Ww acha kudanganya watu ,wakulima wamejaa maumivu ya kahawa mwaka jana kule Songwe wameteseka mpaka kahawa wakalipwa bei ndogo na kuchelewa juu.Hujui tu unaongea shida wanazo pata ww huzijui.
Nje ya mada,leta hoja zenye mantiki,kwa hiyo ulitaka mazao ya yauzwe kiholela ndugu bila kuweka mifumo?Mnavokomaa kwenye kuuza mazao ambayo hamkushiriki kuanzia kulima hadi mavuno muone aibu, mnampa ruzuku gani mkulima zaidi ya kejeli , serikali inayosubiri mavuno ndio unaona inamjali mkulima?
DoosalaleeeeeeeeeeMapumbavu bibi yako Kenge ww,unajua shida ya kulima ,au unashabikia kisa upo upande wa watesi
Kwani mkuu bei ndogo inatokana na mfumo wa stakabadhi ghalani au bei ya soko la dunia kushuka?
Nje ya mada,leta hoja zenye mantiki,kwa hiyo ulitaka mazao ya yauzwe kiholela ndugu bila kuweka mifumo?
Mtu alime kwa hela na njaa zake. Kuuza ndio mnakuwa kimbelembele. Mna shida gani?
Ndio mnavyodanganywa na wenye chuki na serikali eeeh na nyie mnaingia mkenge?Kwa mfano mbaazi kipindi mmevuruga India mkasema imeshuka bei soko la Dunia, mwaka ule ule mtu alieenda kununua mbaazi Uganda na South Sudan alipoifikisha Thailand bei ilikua nzuri sana, sasa hilo soko la dunia lilishuka wapi hadi leo?
Mtu alime mwenyewe halafu kwenye kuuza umpangie?Hao wakazi ni wapumbavu sana,mfumo huo ndio wenye faida kwao kwani hakuna mtu wa kati,wanauza kwa bei ya soko moja kwa moja na pesa zao hulipwa ndani ya masaa 48 tokea kufanyika kwa mnada,narudia tena ni wapumbavu sana wataendelea kulanguliwa hadi mwisho wa dunia kmmzao
Ndio mnavyodanganywa na wenye chuki na serikali eeeh na nyie mnaingia mkenge?
Ulivyodanganywa hivyo uliingia kwenye bei ya soko la dunia la mbaazi kwa kipindi hicho?
Wewe weka mfumo, Ruhusu biashara ifanyike mkulima apate cash aendelee na maisha, sasa mfumo unaouweka wa kilofa wa stakabadhi ghalani ambao hauna cash onsale unadhani kuna mkulima wakuupenda? Kusanya kodi na ushuru wako then mambo mengine mpe uhuru mkulim
Na hicho ndicho serikali inachokifanya,ila kumbuka bei huamuliwa na soko,ikiwa ndogo mkulima asipokubaliana nayo sio lazima auze mazao yake ,mfumo ndio upo hivyo
Mimi swali langu kwanini mtu apangiwe jinsi ya kuuza?Ndio mnavyodanganywa na wenye chuki na serikali eeeh na nyie mnaingia mkenge?
Ulivyodanganywa hivyo uliingia kwenye bei ya soko la dunia la mbaazi kwa kipindi hicho?
We ulitaka serikali ndio ilimeMtu alime mwenyewe halafu kwenye kuuza umpangie?
Mtu alime mwenyewe halafu kwenye kuuza umpangie?
Aliyechoma hayo mazao ni mkulima aliyelima au mfanyabiashara anaekuja kununuaMimi Wilayani kwangu nautumia huo mfumo hasa kuuza ufuta,hakuna malalamiko kutoka kwa wakulima,sana sana wamefurahi kwa kupata bei nzuri ambayo hawajawahi kuipata,nikufumbue kitu kuwa wafanyabiashara walanguzi ndio wanaoupinga huu mfumo ili waendelee kumpiga mkulima,tena wanasaidiana na viongozi wakubwa serikalini kuuponga mfumo huu kwa wao pia ni wafaidika juu ya unyonyaji kwa wakulima
Soko ndio linapanga auzeje na serikali itasimamia mapato yake yahayohusika tu kutoka kwa mnunuzi,mkulima atadeal na Chama chake cha Ushirika,upo?Mimi swali langu kwanini mtu apangiwe jinsi ya kuuza?
We ulitaka serikali ndio ilime
Anaelima ndiye auze anapopataka. Samahani kama nakukwazwa mkuu wa wilayaWe ulitaka serikali ndio ilime