Wakazi wa Magamba Songwe wachoma mazao yao ya ufuta mashambani mwao kupinga agizo la Mkuu wa Wilaya ya kutaka wauze kwa mfumo wa stakabadhi ghalani

Wakazi wa Magamba Songwe wachoma mazao yao ya ufuta mashambani mwao kupinga agizo la Mkuu wa Wilaya ya kutaka wauze kwa mfumo wa stakabadhi ghalani

Ww acha kudanganya watu ,wakulima wamejaa maumivu ya kahawa mwaka jana kule Songwe wameteseka mpaka kahawa wakalipwa bei ndogo na kuchelewa juu.Hujui tu unaongea shida wanazo pata ww huzijui.
Kwani mkuu bei ndogo inatokana na mfumo wa stakabadhi ghalani au bei ya soko la dunia kushuka?
 
Mnavokomaa kwenye kuuza mazao ambayo hamkushiriki kuanzia kulima hadi mavuno muone aibu, mnampa ruzuku gani mkulima zaidi ya kejeli , serikali inayosubiri mavuno ndio unaona inamjali mkulima?
Nje ya mada,leta hoja zenye mantiki,kwa hiyo ulitaka mazao ya yauzwe kiholela ndugu bila kuweka mifumo?
 
Kwani mkuu bei ndogo inatokana na mfumo wa stakabadhi ghalani au bei ya soko la dunia kushuka?

Kwa mfano mbaazi kipindi mmevuruga India mkasema imeshuka bei soko la Dunia, mwaka ule ule mtu alieenda kununua mbaazi Uganda na South Sudan alipoifikisha Thailand bei ilikua nzuri sana, sasa hilo soko la dunia lilishuka wapi hadi leo?
 
Nje ya mada,leta hoja zenye mantiki,kwa hiyo ulitaka mazao ya yauzwe kiholela ndugu bila kuweka mifumo?

Wewe weka mfumo, Ruhusu biashara ifanyike mkulima apate cash aendelee na maisha, sasa mfumo unaouweka wa kilofa wa stakabadhi ghalani ambao hauna cash onsale unadhani kuna mkulima wakuupenda? Kusanya kodi na ushuru wako then mambo mengine mpe uhuru mkulima
 
Kwa mfano mbaazi kipindi mmevuruga India mkasema imeshuka bei soko la Dunia, mwaka ule ule mtu alieenda kununua mbaazi Uganda na South Sudan alipoifikisha Thailand bei ilikua nzuri sana, sasa hilo soko la dunia lilishuka wapi hadi leo?
Ndio mnavyodanganywa na wenye chuki na serikali eeeh na nyie mnaingia mkenge?

Ulivyodanganywa hivyo uliingia kwenye bei ya soko la dunia la mbaazi kwa kipindi hicho?
 
Hao wakazi ni wapumbavu sana,mfumo huo ndio wenye faida kwao kwani hakuna mtu wa kati,wanauza kwa bei ya soko moja kwa moja na pesa zao hulipwa ndani ya masaa 48 tokea kufanyika kwa mnada,narudia tena ni wapumbavu sana wataendelea kulanguliwa hadi mwisho wa dunia kmmzao
Mtu alime mwenyewe halafu kwenye kuuza umpangie?
 
Ndio mnavyodanganywa na wenye chuki na serikali eeeh na nyie mnaingia mkenge?

Ulivyodanganywa hivyo uliingia kwenye bei ya soko la dunia la mbaazi kwa kipindi hicho?

Kudanganywa? Mimi unahisi kuna wa kunidanganya, hadi black market ya mazao naijua acha wewe unaeisoma kwenye mtandao then unarudisha ripoti kwa mabosi zako, michezo hii hamuwezi kuijua hata siku moja kaane mtulie namna hiyo
 
Wewe weka mfumo, Ruhusu biashara ifanyike mkulima apate cash aendelee na maisha, sasa mfumo unaouweka wa kilofa wa stakabadhi ghalani ambao hauna cash onsale unadhani kuna mkulima wakuupenda? Kusanya kodi na ushuru wako then mambo mengine mpe uhuru mkulim

Na hicho ndicho serikali inachokifanya,ila kumbuka bei huamuliwa na soko,ikiwa ndogo mkulima asipokubaliana nayo sio lazima auze mazao yake ,mfumo ndio upo hivyo
 
Mtu alime mwenyewe halafu kwenye kuuza umpangie?

Hebu shangaa hawa watu walivo wa ajabu, mtu alime kwa nguvu zake tena ategemee mvua, ateseke kupanda, ateseke kupalilia, mavuno yakifika sasa hii mizimu mashetani yaliyoshindikana duniani ndio utawaona na vitambi vyao hao wanakuja na porojo zisizo na faida
 
Mimi Wilayani kwangu nautumia huo mfumo hasa kuuza ufuta,hakuna malalamiko kutoka kwa wakulima,sana sana wamefurahi kwa kupata bei nzuri ambayo hawajawahi kuipata,nikufumbue kitu kuwa wafanyabiashara walanguzi ndio wanaoupinga huu mfumo ili waendelee kumpiga mkulima,tena wanasaidiana na viongozi wakubwa serikalini kuuponga mfumo huu kwa wao pia ni wafaidika juu ya unyonyaji kwa wakulima
Aliyechoma hayo mazao ni mkulima aliyelima au mfanyabiashara anaekuja kununua
 
Mimi swali langu kwanini mtu apangiwe jinsi ya kuuza?
Soko ndio linapanga auzeje na serikali itasimamia mapato yake yahayohusika tu kutoka kwa mnunuzi,mkulima atadeal na Chama chake cha Ushirika,upo?
 
Back
Top Bottom