Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Eeh kwa hiyo walivyochoma ndiyo wamepata faida?
Wamekosa wote
hasira za mkizi.
Huku nilipo sisi wakulima ndio tunataka stakabadhi ghalani wkati wengine wanakataa!!?Wakazi wa Magamba Songwe wachoma mazao yao ya ufuta mashambani mwao kupinga agizo la mkuu wa wilaya ya kutaka wauze kwa mfumo wa stakabadhi ghalani ambao wanasema hauna faida kwao
SOURCE : channel 10 taarifa ya habari
MATAGA wa kike mna akili kiasi fulani ukilinganisha na MATAGA wa kiume.Hongereni zenu💪💪💪Mkuu wa wilaya anaonekana kutowapa nafasi ya kuwasikiliza
Wangesikilizwa Isingefikia huko
CCM ndiyo jinamizi kubwa la mnyonge.CCM haikuwahi kumsaidia mnyonge.
Huko mliko mbunge na diwani si walipita bila kupingwa.Huku nilipo sisi wakulima ndio tunataka stakabadhi ghalani wkati wengine wanakataa!!?
Yapo yaliyojificha hapo hao wakulima sio wehu kwamba wawekeze nguvu zao afu eti waje kuchoma mavuno yao ee labda lakini🚶🚶🚶Mkuu wa wilaya anaonekana kutowapa nafasi ya kuwasikiliza
Wangesikilizwa Isingefikia huko
Hao wakazi ni wapumbavu sana,mfumo huo ndio wenye faida kwao kwani hakuna mtu wa kati,wanauza kwa bei ya soko moja kwa moja na pesa zao hulipwa ndani ya masaa 48 tokea kufanyika kwa mnada,narudia tena ni wapumbavu sana wataendelea kulanguliwa hadi mwisho wa dunia kmmzao
Wewe acha porojo mfumo wa stakabadhi gharani nchi kama vietnam mkulima analopwa cash anaondoka habari za kumlipa kidogo halafu nyingine asubiri mara afhulumiwe nani anataka, kawaulize mtwara na lindi wakulima wa korosho kilichowatokea