Wakazi wa mkoa wa Kagera ni washirikina sana tofauti na tunavyowachukulia

Huu mkoa hauna tofauti na mikoa mingine maarufu kwa mambo ya kishirikina. Tofauti na watu wanavyodhani, ukienda Bukoba vijijini kuna vilinge vya Mshana JR.

Matambiko, mila potofu, taboo, mizimu(enchweke)ndio kwao. Ukienda Karagwe, Kyerya usiseme, Ngara nao wako vizuri kwa ndumba mpaka walikuwa wanaogopa kujenga kwao.

Kuna Gavana wa BoT mzaliwa wa Ngara enzi za Mkapa alizikwa makaburi ya Buguruni Malapa sababu hakujenga kwao kuogopa.

Ukipigwa limbwata la Kihaya huchomoki.
Tusiwachukulie poa.

Sishangai mkoa wa Kagera kuwa wa mwisho kwa mapato Tanzania .
1. Uchawi upo maeneo yote siyo kagera tu.
2. Mkoa wa kagera haujawahi kutoa gavana wa BOT
 
Huu mkoa hauna tofauti na mikoa mingine maarufu kwa mambo ya kishirikina. Tofauti na watu wanavyodhani, ukienda Bukoba vijijini kuna vilinge vya Mshana JR.

Matambiko, mila potofu, taboo, mizimu(enchweke)ndio kwao. Ukienda Karagwe, Kyerya usiseme, Ngara nao wako vizuri kwa ndumba mpaka walikuwa wanaogopa kujenga kwao.

Kuna Gavana wa BoT mzaliwa wa Ngara enzi za Mkapa alizikwa makaburi ya Buguruni Malapa sababu hakujenga kwao kuogopa.

Ukipigwa limbwata la Kihaya huchomoki.
Tusiwachukulie poa.

Sishangai mkoa wa Kagera kuwa wa mwisho kwa mapato Tanzania .
Ndumba zote hizo mbona hawarogi majambazi, wauaji na watekaji? Ndumba zinaishia kwenye mambo ya kijinga tu?
 
Huu mkoa hauna tofauti na mikoa mingine maarufu kwa mambo ya kishirikina. Tofauti na watu wanavyodhani, ukienda Bukoba vijijini kuna vilinge vya Mshana JR.

Matambiko, mila potofu, taboo, mizimu(enchweke)ndio kwao. Ukienda Karagwe, Kyerya usiseme, Ngara nao wako vizuri kwa ndumba mpaka walikuwa wanaogopa kujenga kwao.

Kuna Gavana wa BoT mzaliwa wa Ngara enzi za Mkapa alizikwa makaburi ya Buguruni Malapa sababu hakujenga kwao kuogopa.

Ukipigwa limbwata la Kihaya huchomoki.
Tusiwachukulie poa.

Sishangai mkoa wa Kagera kuwa wa mwisho kwa mapato Tanzania .
Kwani ungemtaja tu huyo Gavana alikuwa akiitwa Gilman Rutihinda ( R.I.P ) ungepungukiwa nini?

Halafu rekebisha upesi hapo uliposema kuwa alikufa Kipindi cha Hayati Mkapa bali sema ( andika ) alikufa Kipindi cha mwishoni cha Uongozi wa Rais Mstaafu Mzee Mwinyi.
 
Gilman Rutuhinda ex gavana kwao ngara,au ngara ni burundi,kaburi lake lipo malapa buguruni
Mzee hili la Rutihinda kuzikwa Buguruni lifanyie utafiti zaidi, mimi huyu Gavana akifariki wazazi wangu walikua wanafanya kazi huko nakumbuka Ngara ilikua na wageni wengi walikuja msibani kutoka Dsm so I believe alizikwa Ngara. Kuhusu kujenga kwao you might be right or wrong, nyumbani kwao mpaka anafariki ilikua one of the few quality houses in Ngara though naweza kukubaliana na wewe kwa sababu sidhani kama ilikua ni class ya Gavana. Btw mzee wake alikua Askofu/Pastor (not certain) so ile nyumba angeweza kuimudu pia.
Either way I enjoyed my living there, weather ilikua murua ila baridi ikizidi panatisha, vyakula vya asili ilikua poa sana. Wana watoto wazuri sana ila inabidi ufanye kazi kuwaondolea kaushamba [emoji23]
 
Ahaaa nilikuwa ngara kipindi hicho mkuu,
Tulikaa tunasubiri maiti ghafla tukaja kuambiwa maiti haiji atazikwa dar,ila nyumbani kwake kulikuwa na msiba maana alikuwa mtu mzito.
Kipindi kile ngara ilikuwa nyuma sana sikuona shida ya ile nyumba labda sababu nilikuwa mdogo,ila sasa ndio nimejua kuwa ile nyumba haina hadhi ya kuwa nyumba ya gavana.
ngara imechangamka kuanzia 1994 sababu ya wakimbizi ea Rwanda genocide,mashirika ya kimataifa au tusrme tu UN ilihamia ngara
Ngara imetoa vigogo wengi ila wakija mjini wanaitwa wahaya,kakoko wa TPA,Rugumyamheto ,Bgoya etc
 
Gilman Rutihinda hakuwahi kuwa gavana Bali alikuwa waziri wa fedha
 
Isiombe ukakutana na watu wa Karagwe,kykerwa,Muleba wengi wao utajiri na elimu zao wanazipata kutumia uchawi in short uwezi jua mpaka uwe na jicho la tatu
 
Back
Top Bottom