Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Doh! [emoji851]Umetaja kuhamishwa kupisha miradi ya maendeleo.
Hawa hawahamishwi kupisha mradi wa maendeleo.
Bali wanafukuzwa kupisha waarabu wa Oman wakawinde na kubeba wanyama hai.
Hiyo ndio tofauti iliyopo.
mbona imerudiwa sana sababu kuu ya kuhamishwa ni kuwa ongezeko la watu limekuwa kubwa hivyo kutishia ustawi wa hifadhi,hifadhi pia ni mojawapo ya chanzo cha mapato ya nchi...mapato hayo yanakwenda kuhudumia wananchi wote hivyo basi serikali imewapa upendeleo maalumu wa kuwahamisha na kuwajengea nyumba za kisasa kwingine ili hifadhi isiendelee kuathirika,mbona ni simple na iko wazi tu,hivi ni wananchi wangapi waliovunjiwa makazi yao na hawakulipwa au kulipwa chini ya fidia na maisha yalisonga,hawa ndugu zetu wamasai ni upendeleo maalumu wamepewa na siamini kama ni wao hawataki kuhama bali kuna kikundi cha wachochezi na wenye maslahi binafsi wako nyima yaoMpaka muda huu, sjafahamu ni Kwa nini wa masaai wanahamishwa pahala ambapo wameishi miaka na miaka,
Nguvu kubwa inayotumika kuwahamisha ili kuwepo nini yaani
Maana tunaskia tuu wanapaswa kupisha, wanapisha ili kuwekwe nini ili hali wamekuwepo hapo miaka na miaka...? Kama ni mifugo, mpaka ilishazoeana na wanyama pori
Kuna nini?
Mleta mada umetaja vizuri, Luna watu walipisha ujenzi wa leri, viwanja vya ndege n.k
Si, walikuwa wakiambiwa wanapisha ili kuwekwe kitu Fulani!
Sasa huko umasaini, mbona hata wewe mleta Uzi hujabainisha hayo masilahi ya taifa zaidi ya kufurahia maumivu ya watanzania wenzako!?
Eti wanajifanya kudinda kwa kuamini maneno ya wazushi..
Maelfu ya watu wamebomolewa Majumba yao Kwa ajili ya maslahi ya Nchi kama barabara sembuse Masai?
imeisha hiyoUnabisha au?!… maana sijakuelewa km ni statement ama ni swali…
mbona imerudiwa sana sababu kuu ya kuhamishwa ni kuwa ongezeko la watu limekuwa kubwa hivyo kutishia ustawi wa hifadhi,hifadhi pia ni mojawapo ya chanzo cha mapato ya nchi...mapato hayo yanakwenda kuhudumia wananchi wote hivyo basi serikali imewapa upendeleo maalumu wa kuwahamisha na kuwajengea nyumba za kisasa kwingine ili hifadhi isiendelee kuathirika,mbona ni simple na iko wazi tu,hivi ni wananchi wangapi waliovunjiwa makazi yao na hawakulipwa au kulipwa chini ya fidia na maisha yalisonga,hawa ndugu zetu wamasai ni upendeleo maalumu wamepewa na siamini kama ni wao hawataki kuhama bali kuna kikundi cha wachochezi na wenye maslahi binafsi wako nyima yao
sijaona bado hoja yako ipo wapi,au ulitaka kusemajeHizo story za abunuasi unaziamini…
Nature always balances itself…
wamasai msidanganyike serikali ikitaka jambo lake haishindwi hameni tu kwa amani.mbona imerudiwa sana sababu kuu ya kuhamishwa ni kuwa ongezeko la watu limekuwa kubwa hivyo kutishia ustawi wa hifadhi,hifadhi pia ni mojawapo ya chanzo cha mapato ya nchi...mapato hayo yanakwenda kuhudumia wananchi wote hivyo basi serikali imewapa upendeleo maalumu wa kuwahamisha na kuwajengea nyumba za kisasa kwingine ili hifadhi isiendelee kuathirika,mbona ni simple na iko wazi tu,hivi ni wananchi wangapi waliovunjiwa makazi yao na hawakulipwa au kulipwa chini ya fidia na maisha yalisonga,hawa ndugu zetu wamasai ni upendeleo maalumu wamepewa na siamini kama ni wao hawataki kuhama bali kuna kikundi cha wachochezi na wenye maslahi binafsi wako nyima yao
Umesema vizuri, kuna mliohamishwa kupisha SGR, kuna waliohamishwa kupisha upanuzi wa barabara.
Sasa tuambieni, Wamasai wanampisha nani?
Sina uhakika kama unaelewa maana ya neno GenocideHaiwezekani,
Haiwezekani,
Huwezi lInganisha hayo, huwezi kuhalalisha GENOCIDE
GENOCIDE sio Upanuzi wa barabara, GENOCIDE ni GENOCIDE.
Watabisha tu sabb Kuna kitu wnakitafuta hapo hawaWamasai wanahamisha kupisha uhifadhi, population ya maasai imeongezeka sana Ngorongoro, kwa hiyo waende sehemu ambazo siyo mbuga rasmi za wanyama pori,
na hapa inapaswa kueleweka ni "kwa maslahi ya Taifa" fedha zinazopatikana kwenye hifadhi hiyo zinakwenda kusaidia wananchi wote na ni wajibu wa serikali kuilinda ili iendelee kusaidia kizazi hadi kizazi,hatuwezi kuruhusu ubinafsi wa wachache kuharibu rasilimali hii adhimuwamasai msidanganyike serikali ikitaka jambo lake haishindwi hameni tu kwa amani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unauliza swali la kijinga,unapozungumzia utalii hapa Tanzania unamaanisha Serengeti, ngorongoro,mlima Kilimanjaro na beaches za Zanzibar...Kwahio Ngorongoro mnachimba mafuta?!
Kuna shida gani kuweka ushahidi wa huyo mwarabu aliyepewa iyo ngorongoro? Acha porojoKwa jinsi ulivyo na hali mbaya kiuchumi huwa nakushangaa sana mkuu kutetea ujinga.
Nasubiria jibu lake ili nione saizi ya ubongo wake..Unauliza swali la kijinga,unapozungumzia utalii hapa Tanzania unamaanisha Serengeti, ngorongoro,mlima Kilimanjaro na beaches za Zanzibar...
Hizi rasilimali zitalindwa kwa Gharama zozote.
Umewahi kufika ngorongoro creta au unashadadia ya vyombo vya habari mkodishwa.Hiyo ndio akili yako finyu tulivunjiwa nyumba zetu kupisha miundo mbinu na hao wamasai ni watanzania na ardhi ni mali ya serikali na lengo ni kutunza mbuga za wanyama kwa maslahi ya umma wahame tu kama wengine anavyohamishwa.
sijaona bado hoja yako ipo wapi,au ulitaka kusemaje
Wamasai wanaweza kuishi popote pale ndani ya nchi hii , ila wale wanyama hawawezi kuishi popote.Mpaka muda huu, sjafahamu ni Kwa nini wa masaai wanahamishwa pahala ambapo wameishi miaka na miaka,
Nguvu kubwa inayotumika kuwahamisha ili kuwepo nini yaani
Maana tunaskia tuu wanapaswa kupisha, wanapisha ili kuwekwe nini ili hali wamekuwepo hapo miaka na miaka...? Kama ni mifugo, mpaka ilishazoeana na wanyama pori
Kuna nini?
Mleta mada umetaja vizuri, Luna watu walipisha ujenzi wa leri, viwanja vya ndege n.k
Si, walikuwa wakiambiwa wanapisha ili kuwekwe kitu Fulani!
Sasa huko umasaini, mbona hata wewe mleta Uzi hujabainisha hayo masilahi ya taifa zaidi ya kufurahia maumivu ya watanzania wenzako!?
Unauliza swali la kijinga,unapozungumzia utalii hapa Tanzania unamaanisha Serengeti, ngorongoro,mlima Kilimanjaro na beaches za Zanzibar...
Hizi rasilimali zitalindwa kwa Gharama zozote.
duh,mi mswahili msukuma ase sielewi ulichokiandika,bado hujanijibu hoja yako ni ipi...shida baadhi ya watu wana mihemko ya bendera fuata upepo hawana hoja zaidi ya kufata mkumbo wa kupingapinga tu kila kitu bila kuwa na hoja wala ushahidiNasema hv don’t be a parrot, reason and think