Wakazi wa Ngorongoro, tunawakumbusha tu kwamba hata sisi wa maeneo mengine ya Tanzania, kama Kuna maslahi ya umma, tulihamishwa

Mpaka muda huu, sjafahamu ni Kwa nini wa masaai wanahamishwa pahala ambapo wameishi miaka na miaka,

Nguvu kubwa inayotumika kuwahamisha ili kuwepo nini yaani

Maana tunaskia tuu wanapaswa kupisha, wanapisha ili kuwekwe nini ili hali wamekuwepo hapo miaka na miaka...? Kama ni mifugo, mpaka ilishazoeana na wanyama pori

Kuna nini?

Mleta mada umetaja vizuri, Luna watu walipisha ujenzi wa leri, viwanja vya ndege n.k

Si, walikuwa wakiambiwa wanapisha ili kuwekwe kitu Fulani!

Sasa huko umasaini, mbona hata wewe mleta Uzi hujabainisha hayo masilahi ya taifa zaidi ya kufurahia maumivu ya watanzania wenzako!?
mbona imerudiwa sana sababu kuu ya kuhamishwa ni kuwa ongezeko la watu limekuwa kubwa hivyo kutishia ustawi wa hifadhi,hifadhi pia ni mojawapo ya chanzo cha mapato ya nchi...mapato hayo yanakwenda kuhudumia wananchi wote hivyo basi serikali imewapa upendeleo maalumu wa kuwahamisha na kuwajengea nyumba za kisasa kwingine ili hifadhi isiendelee kuathirika,mbona ni simple na iko wazi tu,hivi ni wananchi wangapi waliovunjiwa makazi yao na hawakulipwa au kulipwa chini ya fidia na maisha yalisonga,hawa ndugu zetu wamasai ni upendeleo maalumu wamepewa na siamini kama ni wao hawataki kuhama bali kuna kikundi cha wachochezi na wenye maslahi binafsi wako nyima yao
 
Hizo story za abunuasi unaziamini…

Nature always balances itself…
 
wamasai msidanganyike serikali ikitaka jambo lake haishindwi hameni tu kwa amani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema vizuri, kuna mliohamishwa kupisha SGR, kuna waliohamishwa kupisha upanuzi wa barabara.

Sasa tuambieni, Wamasai wanampisha nani?

Wamasai wanahamisha kupisha uhifadhi, population ya maasai imeongezeka sana Ngorongoro, kwa hiyo waende sehemu ambazo siyo mbuga rasmi za wanyama pori,
 
Haiwezekani,
Haiwezekani,
Huwezi lInganisha hayo, huwezi kuhalalisha GENOCIDE
GENOCIDE sio Upanuzi wa barabara, GENOCIDE ni GENOCIDE.
Sina uhakika kama unaelewa maana ya neno Genocide
 
wamasai msidanganyike serikali ikitaka jambo lake haishindwi hameni tu kwa amani.

Sent using Jamii Forums mobile app
na hapa inapaswa kueleweka ni "kwa maslahi ya Taifa" fedha zinazopatikana kwenye hifadhi hiyo zinakwenda kusaidia wananchi wote na ni wajibu wa serikali kuilinda ili iendelee kusaidia kizazi hadi kizazi,hatuwezi kuruhusu ubinafsi wa wachache kuharibu rasilimali hii adhimu
 
Kwahio Ngorongoro mnachimba mafuta?!
Unauliza swali la kijinga,unapozungumzia utalii hapa Tanzania unamaanisha Serengeti, ngorongoro,mlima Kilimanjaro na beaches za Zanzibar...

Hizi rasilimali zitalindwa kwa Gharama zozote.
 
Hiyo ndio akili yako finyu tulivunjiwa nyumba zetu kupisha miundo mbinu na hao wamasai ni watanzania na ardhi ni mali ya serikali na lengo ni kutunza mbuga za wanyama kwa maslahi ya umma wahame tu kama wengine anavyohamishwa.
Umewahi kufika ngorongoro creta au unashadadia ya vyombo vya habari mkodishwa.
 
Mpaka muda huu, sjafahamu ni Kwa nini wa masaai wanahamishwa pahala ambapo wameishi miaka na miaka,

Nguvu kubwa inayotumika kuwahamisha ili kuwepo nini yaani

Maana tunaskia tuu wanapaswa kupisha, wanapisha ili kuwekwe nini ili hali wamekuwepo hapo miaka na miaka...? Kama ni mifugo, mpaka ilishazoeana na wanyama pori

Kuna nini?

Mleta mada umetaja vizuri, Luna watu walipisha ujenzi wa leri, viwanja vya ndege n.k

Si, walikuwa wakiambiwa wanapisha ili kuwekwe kitu Fulani!

Sasa huko umasaini, mbona hata wewe mleta Uzi hujabainisha hayo masilahi ya taifa zaidi ya kufurahia maumivu ya watanzania wenzako!?
Wamasai wanaweza kuishi popote pale ndani ya nchi hii , ila wale wanyama hawawezi kuishi popote.

Kama idadi yao imekuwa kubwa kiasi cha kuhatarisha mbuga kwa shughuli za kibinadamu waondolewe hapo.
 
Unauliza swali la kijinga,unapozungumzia utalii hapa Tanzania unamaanisha Serengeti, ngorongoro,mlima Kilimanjaro na beaches za Zanzibar...

Hizi rasilimali zitalindwa kwa Gharama zozote.

Ulishawahi kutembeza watalii au kutalii?!

Kaulize km kuna mzungu anaenda kuangalia wanyama ngorongoro bila kuomba kuwaona wamasai…

Hv hujawahi kukutana na matangazo ya kampuni za simu…wa kwanza alijitangaza kwamba yeye ni simba wa pili akajitangaza kuwa yeye ni Masai na mkuki..maana yake anauwa simba…

Tungejuaje km Masai anauwa simba km si tafiti za wazungu kuja na kukaa na wamasai nakujua maisha yao ya kila siku…maana kasuku km wewe hayo maarifa huna unajua kusubiria mikopo tuu upate mgao wako
 
Nasema hv don’t be a parrot, reason and think
duh,mi mswahili msukuma ase sielewi ulichokiandika,bado hujanijibu hoja yako ni ipi...shida baadhi ya watu wana mihemko ya bendera fuata upepo hawana hoja zaidi ya kufata mkumbo wa kupingapinga tu kila kitu bila kuwa na hoja wala ushahidi
 
Back
Top Bottom