Wakazi wa Tarakea wachota maji Kenya

Wakazi wa Tarakea wachota maji Kenya

Inasikitisha mno yaani maji yamekuwa ya shida sana hadi kupelekea wakaji wa tarakea kwenda kuchota maji kenya halafu baadae utaskia ooh mama ana upiga mwingi 🤣🤣
Ndiyo Huko Kenya Mpaka Watusaidie Na Mambo Mengine
 
Wachimbe visima, Kama dodoma nzuguni mbona watu wamechimba tu, wangelalamika kule makao makuu Ila wamejiongeza tu.
 
Ngoja tumuite Boss la DP World aje atupe msaada wa kutuchimbia Visima

Ninachojua Serikali ina mipango ya kujenga miundombinu ya huduma ya maji kwenye Vijiji vyote kabla ya 2030 ikiwemo hapo Tarakea, ni vile rasilimali fedha imekuwa haitoshi.

Nadhani Wananchi wapaze sauti kuwasukuma Viongozi wao kuwaharakishia Mchakato wa kuanzisha mradi huo hapo Tarakea
 
Back
Top Bottom