Mr RoundAbout
Member
- Oct 6, 2023
- 74
- 89
We acha tu, Sasa hivi hatuna uongozi wa kujali watu wa kawaida. Ni Bora tu kuwa na teknolojia ya kuvuna maji nyumbani kuliko kutegemea haya maji ya Serikali. Malamba mawili nasikia miezi 5 hakuna maji. Inasikitisha...