Yes. Kuna eneo huko chini Mzee wangu alinunua. Kutokana na shida ya maji yeye amedrill kbs. Huo ukanda walitesekaga sana. Japo kwazee wangu siyo chini kihivyo. Na shamba lake la mdizi ni kubwa kwahiyo mdizi hazipati maji ya kutosha. Alifunga safari ya mbali kbs Asia huko kununua material. Amedrill na anawagawia majirani zake maji bure kbs. Na migomba shamba zima linamwagiliwa. So naona tatizo na wahusika wenyewe.
Niliona kama miaka mitatu hivi kipande cha shimbi wamechimba mifereji na mabomba pembeni lakini sijajua kama wameshafunguliwa maji. Nilisikia kama Rombo chini hivi. Huku ukanda wetu wa juu huwa haunaga chanhamoto za kihivyo za maji. Watu wahimizwe wapande miti zaidi milimano huko. Ubaya wake ni moto unaolipuka mara kwa mara inaharibu sana vyanzo vya maji.
Marangu wenzetu waligomaga kulipia bill za maji. Waliwaambia idara ya maji hawalipi kwasababu maji wamepewa burw na Mungu hivyo hawalipii. Na ukiangalia Marangu na mitaa yote sijui machame, kibosho, etc etc wana vyanzo vingi sana vya maji. Mifereji imepitisha maji mpaka nje kwako. Wengine unakuta hapo nje ana chemchem inapita. Rombo ni Semi Desert. Ukamda wa chini majirani na kenya. Hivyo Serikali itimize wajibu wake tuu