Wakazi wa Tarakea wachota maji Kenya

Wakazi wa Tarakea wachota maji Kenya

Ni kweli kabisa aisee. Ila rombo wanategemea maji ya marangu. Sisi hakuna chemchem ka huko kwenu bana.
Chemi chemi zipo ukienda maeneo ya juu hasa ushiri kuna chemchem kibao sema zina ishia huko huko juu kuna namna zilifungwa ndio maana mito mingi ilikufa yamebaki makorongo tu.
 
Chemi chemi zipo ukienda maeneo ya juu hasa ushiri kuna chemchem kibao sema zina ishia huko huko juu kuna namna zilifungwa ndio maana mito mingi ilikufa yamebaki makorongo tu.
Aiseee. Kumbee? Ila ni kweli huko juu msituni kupo vyedi sana. Sasa wamefunga wakayaelekeza wapi? Unajua peak ya mlima kilimanjaro iko karibu zaidi kwa route ha rongai ila ndo hivyo tumelala ktk suala zima la utalii eh? Kumbe maji yamezuiwa? Najiuliza na misitu yote hiyo?
 
Back
Top Bottom