Wakazi wa Tarakea wachota maji Kenya

Wakazi wa Tarakea wachota maji Kenya

Tumeipenda wenyewe ntintiii
Chaguo letu milele ntintinti
Na wavimbe wapasuke ntinti
Watajijua wenyewe ntintinti

Acha waisome namba eeee.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hili ndio tatizo
Shirika la maji hawawezi kazi halafu hawataki wapinzani
Huu ni ushenzi kabisa ndio mana watoto wanakufa kisa maji machafu kabla hata hawajafika mitano
Tuna bahati kuishi kwenye nchi za umasikini wa kujitakia
Mkuu nilishasema na nasema tena
CCM hawataki watu watoke kwenye tabu
Kuna mifano mingi sana

1.Kiwanda cha Sukari TPC kinazalisha umeme wa uhakika, walitaka kuwauzia Tanesco wakakataa TPC wakauza umeme wao wa uhakika usiokatika katika Kenya
Lakini Moshi umeme wa Tanesco unakatika hawana uwezo wa kuzalisha umeme wa uhakika.

2.Wananchi wa Kirua walichanga pesa zaidi ya bilioni 7 ili waweke lami barabara yao, walipotaka kuanza mkuu wa wilaya na watu wake wakakataa lami isiwekwe mpaka Mbatia alipokwenda kulalamika kwa Magufuli (Uzi kuhusu hili sakata upo humu)

3.Watu walichimba visima dar kuondokana na tatizo la maji serikali ikawawekea kodi
Yani serikali imeshindwa kuwapa watu maji, wananchi wakachimba visima wenyewe kwa pesa zao, eti serikali wanataka wawafungie mita wawalipishe huu si Ujuha?!

Si kwamba Watanzania hawawezi kuchimba visima au kujenga barabara wenyewe ila serikali ndio kikwazo kikuu kwa maendeleo licha ya kuwa wameacha kufanya wajibu wao wa kutumia kodi zetu kwa maendeleo na wakachagua kujinunulia ma V8 ya milioni 500
Bado wanazuia wazalendo wanaojaribu kufanya kwa niaba yao kwakua kufanya hivyo ni kuwavua nguo.
 
Tusiwasingizie viongozi kwa ujinga na uzembe
Kisima 3m kwani wasichange wakachimba?
Anzisheni harambee Walahi nitachangia

Yaani kiraka changu nimseme Mama hapana
Wawaingizie bidhaa bila kutoza kodi wala wasiwachaji kodi kwenye kitu chochote..watajijengea hadi zahanati..msiwatishe

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nilishasema na nasema tena
CCM hawataki watu watoke kwenye tabu
Kuna mifano mingi sana

1.Kiwanda cha Sukari TPC kinazalisha umeme wa uhakika, walitaka kuwauzia Tanesco wakakataa TPC wakauza umeme wao wa uhakika usiokatika katika Kenya
Lakini Moshi umeme wa Tanesco unakatika hawana uwezo wa kuzalisha umeme wa uhakika.

2.Wananchi wa Kirua walichanga pesa zaidi ya bilioni 7 ili waweke lami barabara yao, walipotaka kuanza mkuu wa wilaya na watu wake wakakataa lami isiwekwe mpaka Mbatia alipokwenda kulalamika kwa Magufuli (Uzi kuhusu hili sakata upo humu)

3.Watu walichimba visima dar kuondokana na tatizo la maji serikali ikawawekea kodi
Yani serikali imeshindwa kuwapa watu maji, wananchi wakachimba visima wenyewe kwa pesa zao, eti serikali wanataka wawafungie mita wawalipishe huu si Ujuha?!

Si kwamba Watanzania hawawezi kuchimba visima au kujenga barabara wenyewe ila serikali ndio kikwazo kikuu kwa maendeleo licha ya kuwa wameacha kufanya wajibu wao wa kutumia kodi zetu kwa maendeleo na wakachagua kujinunulia ma V8 ya milioni 500
Bado wanazuia wazalendo wanaojaribu kufanya kwa niaba yao kwakua kufanya hivyo ni kuwavua nguo.
CCM ndio tatizo la nchi hii.
 
Asante sana kwa ufafanuzi wako, kwani na wengine waliochangia wataelewa pia.
Hongera kwa mzee wenu ila ana Baraka zake kwa Mungu pia
Kweli wajibu wa Serikali na pia wahimize upandaji wa miti zaidi
Eeh, ila sasa kuna padre alimchimbia baba yake pia kisima ila yeye anauza sasa. Hahaha ila si Tarakea.

Serikali wanataka wakumbatie miradi yote. Wangeacha haata hawa wanaojimudu wakaokoa jahazi.
 
Waswahili roho mbaya sana tena ni zaidi ya wachawi
Sasa kuwa mpinzani ndio wanawafanyia hivyo

Tunayasikia sana haya hata marehemu alikuwa hivyo yeye akiona mpinzani anasema sileti maendeleo, kwa kweli alikuwa mtu wa ajabu sana kwa hilo

Na wengine wameendeleza hayo
Na hilo ndo lilikua moja ya sehemu ya changamoto zake. Uchama mbaha sana. Tuma roho mbaya sana sisi maskini
 
Eeh, ila sasa kuna padre alimchimbia baba yake pia kisima ila yeye anauza sasa. Hahaha ila si Tarakea.

Serikali wanataka wakumbatie miradi yote. Wangeacha haata hawa wanaojimudu wakaokoa jahazi.
Sipendi kumtaja jina, kuna Mbunge alipita sehemu akiwa anajionyesha na kutoa kumi 10 maana uchaguzi ulikuwa umekaribia

Akisimama mtaa mmoja akaona kina mama wanachota maji, juu Kuna simtank na chini bomba akauliza hayo ni maji ya serikali wakamumbia hapana mwenye nyumba kaamua kuchimba atoe sadaka endelevu kwa Mola wake

Akasema anafanya vizuri
Mjinga huyo uwezo wa kuchimba visima 10 anao ila anatoa hongo ya elfu 5 ili achaguliwe

Angewachimbia visima ambavyo ni 3m angepata kura za halali kabisa ila wamezoea kuwa na roho ya shetani hata mazuri wamesahau

Huo ndio ukweli wachukie tu
 
Back
Top Bottom