Wakazi: Wakati wasanii wanafight kwenda kimataifa Mimi huko ndiyo kwetu

Wakazi nilianza kumfahamu alipoenda peform Big Brother Africa na kipindi hicho nilishtuka kuona msanii gani wa Tz anapewa platform kubwa kama ile na simjui..

Hata hivyo sidhani kama content wise ni sifuri maana asingefika hata sauti za Busara. Na unajua huko hawajali commercial success kuliko artistry ya msanii
 
Wakazi kaonyesha uwezo mkubwa kwenye muziki wa Taarab kwahiyo ni muda sahihi kwake kwenda pale Magomeni Lango la jiji kujiunga na kundi la muziki wa mwambao
 

Aliwahi kuwa manager wa dadaake Lady Jay Dee uliza alimfikisha wapi 😅
 
Hata hit moja hana zaidi ya kusema kafika amerika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…