Ni kama akina Mose Def na Pharaoh Monche vijana wengi enzi zetu walikuwa hawawselewi. Kama Mose Def ana heshima kubwa kimuziki,wanaojua hip hop kiundani wanamkubali ila kwa mafanikio tunayoyawaza hajafanikiwa kama akina Rick Ross, 50 Cents etcWakazi Swagger bovu mshikaji anajua lakini watu wengi hawamwelewi cjui kwa nini!