Wake wa Marais wetu na Mambo yao

Wake wa Marais wetu na Mambo yao

Mkuu GT,

Mimi naweza kusema tu kwamba nashukuru.
 
yaani najaribu kumuimagine siku ya Jumamosi mchana akiwa jikoni kuhu kavaa deri lake, mara sijui anaenda kutia udhu apate slat dhuhur huku anataka kuhakikisha anakula pamoja na Honey wake

yaani acha tuuu

Shekh Mo itabidi tuongee in PM

amiiii GT

sasa unaenda mbali huko yakhe,duh hujui kuwa yule ni MKE WA MTU?ukianza tena imagination za namna hizo mhhhhhhh MIE SIMO.

nakuusiaa tu kama nINAVYOIUSIA NAFSI YANGU achana na IMAGINATION KAMA HIZO KUHUSU WAKE ZA WATU.
 
maalim kosa ni lake huyo bibie kuvaa hilo deri

sie wengine wagonjwa sasa kuna mawili

kama naye binti basi hamna shalka lakini nasiki keshachukuliwa na mfaransa
sasa what other options we have left?
 
GT

kwani yule m'sheria TZ ndio unayeongelea au vp?i mean unayesema aloolewa na mfaransa.
 
najua kuna binti wa karume aliyeolewa na Mfaransa na wanaishi CHELSEA, LONDON
mtaa huu lakini siwezi kuitaja nyumba kwani itakuwa kinyume na sheria
350.jpg
 
Kuna sakata linafukuta kuhusu uuzaji kiholela wa nyumba 12 za serikali huko mbeya, mambo yako hivi:

1.0, serikali kupitia wizara ya miundo mbinu inamiliki nyumba 12, eneo la RRM nje kidogo ya jiji la mbeya, nyumba hizi zilizojengwa kwa archtecture ya kiyugoslavia, zilijengwa na kampuni ya kiyugoslavia inayoitwa partzank put, wakati wanajenga barabara ya igurusi-songwe miaka ya 1992. walipomaliza ujenzi walizikabidhi nyumba hizi serikalini, yaani wizara ya ujenzi

2.0 nyumba hizi zinakaliwa na watumishi wa muda mrefu wa serikali mjini mbeya, na ziko 12 kwenye compound moja

3.0, wakati wa uuzaji wa nyumba za serikali, watumishi hawa waliomba na kukubaliwa na wakauziwa kwa bei ya soko, wengi wa watumishi hawa ni wa kada ya kati wakiwepo wahandisi

4.0 wengi wamemaliza kulipa, na walipoanza process za kuomba hati miliki wakakutana na kigongo hiki kuwa hati haitaweza kutolewa kwa kuwa, nyumba hizo aliuziwa mama ana mkapa na ndo mmliki halali, TAYARI ANA MKAPA ANA HATI YA ENEO LOTE LENYE NYUMBA 12

5. mtu mmoja aitwae zongo, ambaye alikuwa afisa ardhi wa the then manispaa ya mbeya, na ambaye inasemekana ni mtu wa karibu na mama ana mkapa ndo aliyefanikisha huu ufisadi

kwa maana hiyo, manispaa ya mbeya imeuza nyumba isizomiliki kwa mtu asiyestahili, na kwa gharama za wafanyakazi wa serikali wliostahili. mmiliki halaili ni katibu mkuu, wizara ya ujenzi

waliozulumika katika zoezi hili wameniomba nilete hili swala hapa jf kuomba msaada wenu wakuu
 
Jamani mnamsingizia Mama Mkapa... wenyewe wanaishi kwa pensheni tu!! Kama hizo nakala za mauzo zipo si zipenyezwe. Yeye na mke hawakuwa hata tujivisenti vya kusafirisha mizigo...
 
Mkuu,

Hii habari ni nzito sana na inahusu maslahi ya taifa na ndugu zetu. Tafadhali lete ushahidi zaidi ili magazeti na wana JF tuanze kuivalia njuga.

Kama ni kweli, hii itakuwa mbaya sana kwa serikali yetu pamoja na chama chao.
 
Duuu??
Nijuacho kwamba hizo nyumba zilikuwa zikuzwa kwa kuwapa walo kuwa wapangaji wake kipa umbele, kwani mama Ana alikuwa mkazi/mpangaji wa nyumba hizo? kama siyo mbona hiyo ni kesi iliyo jishinda? waende tu mahakamani! Siku hizi haogopwi mtu, naona hata mahakama wameamua kumkoma nyani giledi siku hizi!
 
mtapata ushahidi wakuu, nitawapa data muhimu sana, hamtaamini
lakini huo ndo ukweli wanaoweza mnaweza kumpigia simu manager, tanzania buiding agency-mbeya, nitawapa namba yake soon
 
Jamani mnamsingizia Mama Mkapa... wenyewe wanaishi kwa pensheni tu!! Kama hizo nakala za mauzo zipo si zipenyezwe. Yeye na mke hawakuwa hata tujivisenti vya kusafirisha mizigo...

Wakuu wenye data watuorodheshee 'tujisenti' twa hawa partners ANBEN maana inaonekana list ni ndefu. Nianze na zinazotajwa sana

1. TanPower/Kiwira
2. Bank M
3. Ikulu ndogo Lushoto
4. Hotel SA
5. ...
 
mama ana mkapa anadai anataka kujenga sijui shule ya kimataifa, na wafanyakazi hao inabidi whame
 
Watu Muache Kupiga Kelele Hizo Nyumba Zimenunuliwa Kihalali Na Hakuna Hata Chembe Moja Ya Rushwa Au Kudanganyana Na Mkataba Wa Uuzaji Nyumba Hizo Upo Wazi Sema Wahusika Wakuu Ndio Wanao .

Kwa Sasa Hizo Nyumba Pamoja Na Zingine Nyingi Ni Mali Ya Familia Ya Maro Sio Maro Mimi Lakini Maro Huyo
 
Back
Top Bottom