mama ana mkapa anadai anataka kujenga sijui shule ya kimataifa, na wafanyakazi hao inabidi whame
Hatumtaki Mbeya, tutapiga mawe hiyo shule yake, asije akatufundisha ufisadi bure.
Wakati mwingine serikali ikishindwa kuwajibika, itabidi wananchi tutumie hata mawe kurudisha vilivyo vyetu.