Wake wa Marais wetu na Mambo yao

Wake wa Marais wetu na Mambo yao

Hao wanajulikana kwa jina la ..Hapa Pangu halafu mabahili ile mbaya !
 
Sasa kulikuwa na ulazima wa kuvaa dera linaloonyesha namna ile?

au ndo mambo ya maudhi tuu
 
Jaribu kugogo ZAYADESA,
Taasisi hii imekuwa na vituko vya nuni Firauni Bandarini Zanzibar, haina tafauti na ile iliyokuwa ya Mama "lux" Salma (yule kahaba aliyekuwa Mke wa Komandoo)
 
halafu inaonekana wazi kuwa kiutendaji hiyo ZADYESA haindeshwi kiprofeshno kama WAMA ya Bi Salma Kikwete
 
Nini Makosa ya Mama Anna MKapa?
 
Last edited by a moderator:
Maharibiko ya kaka Ben yameanzia hapa kwa Anna.
 
Hivi huyu mama ni Mkristo?

Wakrsito bwana, kweli MAFISADI wa kutisha. Kuna haja ya kuanza kuimulika dini ya Kikristo, viongozi na waumini wao maana kwa ufisadi wanaanza kutisha. Kila sehemu ni wao. Halafu wakianza kufisadi hata hawatosheki.
Kweli inabidi aige mfano wa mama Salma ambaye ni Muislaam saafi.

Udini utakufikisha wapi Ndugu? Inapotokea mtu kufanya jambo hainiingii akilini kumtazama kwa misingi ya asili yake kidini au kikabila, kama mtu akikutendea uovu jua kuwa hiyo ni tabia ya mtu husika, tena sidhani kama kuna dini chini ya jua inayofundisha watu wake kufanya wizi na dhuluma, kwa hiyo kigezo ca dini hakiwezi kuhusishwa kwa namna yeyote na matendo ya huyu Mwanamama. Na huyu mama siyo Mkristo kama ulivyosema.
 
Anajua mungu wake sisi tutajuaje, nafahamu alikuwa mke wa Rais mstaafu anayeshutumiwa kwa ufisadi
 
Kufa !!! Ama kila mtu atakufa, na kulipwa !!! kila mtu atalipwa, lakini kwa haya wanayotufanyia hawa, inshaAllah Mwenyezi Mungu atatulipia na atawaharamishia pepo mpaka watulipe hawa.

Na wakishindwa, Na watashindwa, maana kiburi na uatajiri wa haramu hapa mtihanini ulimwenguni ni tiketi za moja kwa moja motoni.

Kama tunaweza tuwaondoe ili wasalimike, la kama hata uwezo wa kuwaondoa wanaukandamiza, basi wajijue siku yao ipo tu.
 
Hivi huyu mama ni Mkristo?

Wakrsito bwana, kweli MAFISADI wa kutisha. Kuna haja ya kuanza kuimulika dini ya Kikristo, viongozi na waumini wao maana kwa ufisadi wanaanza kutisha. Kila sehemu ni wao. Halafu wakianza kufisadi hata hawatosheki.
Kweli inabidi aige mfano wa mama Salma ambaye ni Muislaam saafi.

Kweli kabisa Sikonge,

hawa wakristo wamezidi ufisadi, huyu mama anakamilisha list - Mramba, Yona, na sasa Mama Karume.
 
Kuolewa na mtu ambae baadae atakuja kuwa Rais wa Tanzania.
 
Inawezekana pia kuwa huyu mama ni mkristo. Maana kitendo cha kuagiza pombe kuja Tanzania miaka ile akiwa ikulu kimekaa kikristo kikristo vile.

Sidhani kama alihusika kwa hilo, na kuagiza pombe au kunywa pombe hakumaanishi kuwa u mkristo au la.

Ninawafahamu wakiristo wengi wasio agiza kunywa wala kuuza pombe na nawafaham ''waislam'' wengi wenye kuagiza, kuuza na kunywa pombe.
 
Back
Top Bottom