Wake za watu mna nini?

Wake za watu mna nini?

Sasa kuweka hizo "screenshots" zenye kiswahili kibovu namna hiyo ni nini? Wewe hujui kuandika wanaokutongoza hawajui pia, ujinga mtupu ungemkatalia Kisha ukapiga buyu.

Embu katafute hela nyau wewe
Sikuwa na nyengine zenye kiswahili fasaha za kuweka. Nilikuwa nazo hizi tu zenye kiswahili chetu kibovu.
 
Kumekuwa na wimbi kubwa sana siku hizi kuhusu wake za watu kutongoza vijana. Mara nyingi mimi kama kijana nakumbana na hii kadhia mara nyingi sana, na hasa hasa kutoka mitandao ya kijamii na mitaani pia.

Unakuta mmama mtu mzima anamtongoza kijana bila hata ya hofu na aibu, mama kimtazamo anajistiri. Unaweza ukasema
ujinga mkubwa ni huu sasa
Naomba namba yake pm mkuu
 
Kumekuwa na wimbi kubwa sana siku hizi kuhusu wake za watu kutongoza vijana. Mara nyingi mimi kama kijana nakumbana na hii kadhia mara nyingi sana, na hasa hasa kutoka mitandao ya kijamii na mitaani pia.

Unakuta mmama mtu mzima anamtongoza kijana bila hata ya hofu na aibu, mama kimtazamo anajistiri. Unaweza ukasema huyu ndo mke sasa. Mama ana watoto watatu wanne lakini kijana ana miaka 20-25 ni makamu ya mtoto wake wa kumzaa lakini
Nyuki wa mashine unatupigia kelele
 
Back
Top Bottom