Wakenya 6 wanaoshiriki sherehe za JAMAFASET Dar, wametoroka

Hujui kama uchumi nao hutegemea ni aina gani ya uchumi wa nchi husika,nigeria,kenya na south Africa zina uchumi wa GDP yaani uchumi wa makaratasi,uchumi ambazo upo tu kwenye makaratasi lakini hau-reflect maisha halisi ya wananchi wa nchi husika
Usinichekeshe. Eti Kenya tuna uchumi wa Gdp. Nyie yenu ni gani?
 
Lumumba mnavamia hadi jf?
Amani wameijuaje?
wanajua kuna watu wanalazimishwa kukiri makosa ili walipe faini?
 
Lete na gharama za maisha. Hivi ukipewa $300 kijijini na $500 mjini unahisi kuna tofauti?. Wenye akili huwa wanaangalia kitu kinachoitwa (PPP), sio" numerical salary"
Mkuu nimemquote yule mjinga aliedai kenya itabaki kuwa,kwa walimu wa kikenya wanaolipwa usd 300 ni ndogo ila kwao ni nyingi labda ndio kwa sbb ya ukosefu wa ajira huko kwao,kufanya kazi abroad kwa $ 300 ni ndogo
 
Wanaotoka mikoani tu hawarudi makwao ndo itakua Kenya,Burundi,Rwanda?

huko kote maisha magumu sana Dar unaweza kaa KKO na brush yako na kiwi ukaanzaa ku shine viatu vya watu maisha yakaenda
Kenya huwezi..biashara ndogo hizo ninamilikiwa na matajiri

Kenya hakuna wa-brush viatu?
 
Kenya hakuna wa-brush viatu?

Wapo lakini hawa own hizo bussiness kama Tanzania
kunakuwa na mtu ana own mfano...wewe una own maeneo maalum ya
biashara za ku brush viatu around mtaa wa msimbazi kkoo..unaown kwa kulipia
hela kubwa kidogo manispaa....halafu vijana wanao brush viatu hapo wanakulipa wewe pesa yako ya kila siku

mfano wa kumiliki bajaj na dereva anae kulipa sasa fanya
una miliki bajaj zote za stendi labda ya Makumbusho....mwingine haingii hapo
tajiri mwingine anachukua stendi ya mwenge
wewe mtu mmoja na bajaj yako hupati upenyo wa kuingia
 
Usinichekeshe. Eti Kenya tuna uchumi wa Gdp. Nyie yenu ni gani?
Sisi uchumi wetu ni uchumi unaogusa raia wa kawaida, sio ule unaosomeka ktk makarati kwamba GDP kubwa lakini raia wa kawaida wanaishi kwa chakula cha msaada.
 
Lumumba mnavamia hadi jf?
Amani wameijuaje?
wanajua kuna watu wanalazimishwa kukiri makosa ili walipe faini?
Vichaa mnavamia mijadala ya watu wazima, unahitaji mwaka mzima kujua kwamba nchi au mji uliotembelea kama una amani au hapana?. Hivi ukifika sehemu yoyote ugenini kutembea, jambo la kwanza kuuliza ni lipi, au wewe hujatoka kijijini ulikozaliwa?
 
tz kuna kitu moja tu ambayo wako mbele ya kenya na huo ni "uchawi "[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] and nothing else .
 
Kw ukabila tu...huwezekani
 
Walimu wa tanzania hulipwa ngapi..
Mkuu nimemquote yule mjinga aliedai kenya itabaki kuwa,kwa walimu wa kikenya wanaolipwa usd 300 ni ndogo ila kwao ni nyingi labda ndio kwa sbb ya ukosefu wa ajira huko kwao,kufanya kazi abroad kwa $ 300 ni ndogo
 
Kweli wewe hizi story ulizipata kijiweni...wala sio kw ujinga huu walai
 
Na mbona wale wakala mavi na kuna watu bado wanalalamika kuhusu vyuma vimekaza...
Maskini mbna ni wengi bado hko bongo kuliko nchi yeyote afrika mashariki
Sisi uchumi wetu ni uchumi unaogusa raia wa kawaida, sio ule unaosomeka ktk makarati kwamba GDP kubwa lakini raia wa kawaida wanaishi kwa chakula cha msaada.
 
ndivyo unavyojidanganya kenya itabaki kuwa juu huku upo bongo school teacher kwa mshahara wa $ 300!
kumbe unatambua hilo school teachers wengi ni wakenya.tulieni sasa tuwafunze kingereza maana nyie kingereza chenu kina tia kichefuchefu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaseme hayo madudu...manake hawa walioko hku ni km ni wa wakilishi flani hv wa kile chama cha sijui nn vile
Lumumba mnavamia hadi jf?
Amani wameijuaje?
wanajua kuna watu wanalazimishwa kukiri makosa ili walipe faini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…