joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #61
Watakujibu hawa wenzenu 6 waliotoroka kurudi Kenya na kuamua kuzamia katika nchi ya maziwa na asali.Na mbona wale wakala mavi na kuna watu bado wanalalamika kuhusu vyuma vimekaza...
Maskini mbna ni wengi bado hko bongo kuliko nchi yeyote afrika mashariki
kumbe unatambua hilo school teachers wengi ni wakenya.tulieni sasa tuwafunze kingereza maana nyie kingereza chenu kina tia kichefuchefu.
Lumumba mnavamia hadi jf?
Amani wameijuaje?
wanajua kuna watu wanalazimishwa kukiri makosa ili walipe faini?
mkuu ss ni wajanja huwa tunatumia kinga. usiwazeWamenogewa na Papuchi za Manzese.. Hao watarudi kwao na STD iliyostaafu
[emoji116][emoji116]Watakujibu hawa wenzenu 6 waliotoroka kurudi Kenya na kuamua kuzamia katika nchi ya maziwa na asali.
Nitawauliza omba omba usijali
Ukiangalia hapo kwa upande wa ajira unadhani ni nchi ipi vyuma vimekaza?Na mbona wale wakala mavi na kuna watu bado wanalalamika kuhusu vyuma vimekaza...
Maskini mbna ni wengi bado hko bongo kuliko nchi yeyote afrika mashariki
We mwasiti ni kafala hahhahaahahahahahahhahahahahahahahahhahahahaahahahhahahhahahahahhahahahaahKweli mkuu
Ukiangalia hapo kwa upande wa ajira unadhani ni nchi ipi vyuma vimekaza?View attachment 1217637View attachment 1217638
Nchi itajisifiaje tajiri ikiwa haina ajira toshelezi??Kwhyo ajira ndio kigezo cha utajiri..mbna wajitoa ufahamu jamani tena
Bwaaaaaa Sindano Kwa KikuyuKwhyo ajira ndio kigezo cha utajiri..mbna wajitoa ufahamu jamani tena
Wao wanadhani kuwa na maghorofa marefu na watu wachache kuwa matajiri wakati wananchi walio wengi bado wanaishi mwenye slums na kufa kwa njaa, ndio utajiri.Nchi itajisifiaje tajiri ikiwa haina ajira toshelezi??
We huoni kuwa ukosefu mkubwa wa ajira huzalisha masikini wengi.
Kuwa na ajira ni kigezo cha kuwa na unafuu wa kimaishaKwhyo ajira ndio kigezo cha utajiri..mbna wajitoa ufahamu jamani tena
Kuwa na ajira ni kigezo cha kuwa na unafuu wa kimaisha
Sio sawa na mtu ambae jobless kama wewe,kutwa upo jf kusifia maghorofa ya nairoberry halafu wewe mwenyewe unaishi kibera huku ukiwa hauna kazi,njoo bongo uwe gardener wanguAjira vile vile pia sio kigezo cha kumfanya mtu awe na maisha mazuri...
Sio sawa na mtu ambae jobless kama wewe,kutwa upo jf kusifia maghorofa ya nairoberry halafu wewe mwenyewe unaishi kibera huku ukiwa hauna kazi,njoo bongo uwe gardener wangu
Bwaaaaaa Sindano Kwa Kikuyu