Nchi itajisifiaje tajiri ikiwa haina ajira toshelezi??
We huoni kuwa ukosefu mkubwa wa ajira huzalisha masikini wengi.
Vile vile pia ajira haizalishi matajiri
Ila inapunguza maskini.
Hapana sijichekeshi nachekeshwa na slum monkey za kiberaUnajichekesha hku ujumbe umeshaupata
Hapana sijichekeshi nachekeshwa na slum monkey za kibera
Mnaisifia sana hii nchi yangu pendwa lakini ni yawalala hoi tu
Mnaisifia sana hii nchi yangu pendwa lakini ni yawalala hoi tu
Ila unapunguzwa kwa kukosa ajira kwa sababu ya watu wachache kumiliki uchumi wote pamoja na ardhi yenye rutuba?Umaskini haupunguzwi kw
ajira
Ila unapunguzwa kwa kukosa ajira kwa sababu ya watu wachache kumiliki uchumi wote pamoja na ardhi yenye rutuba?
Unajua indicators of poverty moja wapo ni unemployment ???Umaskini haupunguzwi kw
ajira
Unajua indicators of poverty moja wapo ni unemployment ???
Shule buddah ulienda kufanya nini???
Watu wasipoajiriwa hawawezi kupata wellbeing zao kabbisa mwishowe huangukia ombaomba ama ukora.
Ila unapopatia watu ajira inawapa urahisi wao wa kupata mahitaji yao na kupunguza wimbi la umasikini.
Bro usiniangushe bhanaa hii elimu ya Civics form 2 kabbisa!!!
Unaona unavyojichanganya??So umaskini ni ukosefu wa ajira kulinga na wewe...si mbaya pia...
Kulingana na mm kitu chenye kina determine umaskini ni total income yako,iwe kw siku, wiki, mwezi, au hata mwaka...
Sorry mkuu.. mwandiko wako ulinifanya nihisi wewe ni mdada.ww boyaa imeandikwa wpi mm ni mdada ?msenge nn
Mlala hoi ni ww binafsiMnaisifia sana hii nchi yangu pendwa lakini ni yawalala hoi tu
Unaona unavyojichanganya??
Total income hiyo unayoizungumzia ina chanzo chake cha kukipata.
Kama sio kwa kujiajiri basi ni kuajiriwa.
Laa sivyo kutakua na namna nyingine illegal ya kupata hiyo total income unayoizungumzia wewe.
Wapo waliojiajiri ila total income yao iwe kwa siku au kwa mwezi ni ndogo mathalan mama ntilie.
Na wapo walioajiriwa ila total income yao ni kubwa iwe kwa week ama kwa mwezi mathalan engineers.
Asa ndugu watu wanapokosa ajira kwa kiasi kikubwa nambie hiyo total income unayoizungumzia wewe watapataje???
Ebu nifafanulie.....
Kenya hali ngumu sana!!! sasa wakikuta nchi ambayo elfu moja unaishi siku 3, watu ni wakarimu kila ukipita mtaani watu wanakusalimia wanatamani uongee nao na wanataka urafiki wa kweli, nchi ina amani teletele tangu wamefika hawajawahi husikia mlio wowote wa risari, wakipita mitaani wamachinga kutoka nchini kwao wamejazana wanafanya biashara bure kabisa ukikuta sehemu yoyote ya wazi unapanga bidhaa zako bila kuulizwa na mtu yoyote.....kwa nini wasikimbie?