Wakenya mna Balaa Nyie: Eti mji wa Nakuru ni mkubwa kuliko baadhi ya majiji ya Marekani kama Atlanta

Wakenya mna Balaa Nyie: Eti mji wa Nakuru ni mkubwa kuliko baadhi ya majiji ya Marekani kama Atlanta

Ramon Abbas

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
1,964
Reaction score
3,913
Hii comment nimeikuta hapa hapa kwa Jf, the home of GT's.

Screenshot_20211205-153628.png

Hivi nyie wakenya huwa mnafikiri kwa kutumia nini wakati mwingine?
....
Hii ndio Nakuru
3019247_images_13.jpeg

mdau anasema huo mji mkubwa kuliko huu hapa (Atlanta)
3019241_images_12.jpeg
 
I like jinsi wakenya wanavyojivuniaga vitu vyao hata kama vibovu....wabongo tupo kinyume...kitu hata kiwe kizuri full kuponda...sijui tumelogezewa
 
na ndo maana wakenya wanatuona sisi ni wajinga.... Mtu amekuambia kabisa Ukuwa wa eneo wewe unalinganisha na magorofa
 
Hii comment nimeikuta hapa hapa kwa Jf, the home of GT's.

View attachment 2033866

Hivi nyie wakenya huwa mnafikiri kwa kutumia nini wakati mwingine?
....
Hii ndio Nakuru
View attachment 2033867

mdau anasema huo mji mkubwa kuliko huu hapa (Atlanta)

Shida ya JF ukishapost thread ni mali ya JF, huna access ya kuweza kuifuta.

Kwahiyo kaa kwa kutulia usubiri kuchekwa kwa pumba ulizopost hapa, siku nyingine ndio utajuwa tofauti ya mitandao ya Meta na JF.
 
Hajasema nakuru ni kubwa kuliko atalanta....."it would be".....kizungu tabu sana
 
Dah,umetuvua nguo jf,em rudi shule kasome nina uhakika utaukimbia uzi wako
 
Halafu unakuta wewe ndio wale think tank ya CCM, yaani hata kingereza cha "nursery" hicho hujaelewa!
Wavumilie tu jombaa, mama yupo usukani sasa. Ana kibarua kigumu sana ila mwishowe labda mambo yatakuwa sawa, inshaalah.
2741981_1618468847400.png
 
Back
Top Bottom