Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
nadhani area wise...Nakuru limji lina eneo kubwa bali ni nyumba mbavu za mbwa. Atlant mji eneo dogo lakini majumba ya kutisha na miundombinu world class sasa hapo unasemea lipi?Hii comment nimeikuta hapa hapa kwa Jf, the home of GT's.
View attachment 2033866
Hivi nyie wakenya huwa mnafikiri kwa kutumia nini wakati mwingine?
....
Hii ndio Nakuru
View attachment 2033867
mdau anasema huo mji mkubwa kuliko huu hapa (Atlanta)
View attachment 2033868
Hii comment nimeikuta hapa hapa kwa Jf, the home of GT's.
View attachment 2033866
Hivi nyie wakenya huwa mnafikiri kwa kutumia nini wakati mwingine?
....
Hii ndio Nakuru
View attachment 2033867
mdau anasema huo mji mkubwa kuliko huu hapa (Atlanta)
Shida ya JF ukishapost thread ni mali ya JF, huna access ya kuweza kuifuta.
Inawezekana kwa ukubwa wa eneo, na sio Kwa uzuri au shughuli za kiuchumi.Hii comment nimeikuta hapa hapa kwa Jf, the home of GT's.
View attachment 2033866
Hivi nyie wakenya huwa mnafikiri kwa kutumia nini wakati mwingine?
....
Hii ndio Nakuru
View attachment 2033867
mdau anasema huo mji mkubwa kuliko huu hapa (Atlanta)
View attachment 2033868
Wavumilie tu jombaa, mama yupo usukani sasa. Ana kibarua kigumu sana ila mwishowe labda mambo yatakuwa sawa, inshaalah.Halafu unakuta wewe ndio wale think tank ya CCM, yaani hata kingereza cha "nursery" hicho hujaelewa!