sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Polisi wameshinda kwa kishindoHopeless thread ever!
😭😭😭 unatonesha kidondaPolisi wameshinda kwa kishindo
Ni mkoa gani watu wamepigwa mabomu jana na leo?Polisi wameshinda kwa kishindo
Lindeni demokrasia. Mpambane ili msipoteze demokrasia yenu. Tunawashauri kwamba msilale. Demokrasia ikifa basi ni ngumu kuipata tena. Mtatawaliwa na diktator kama vile Egypt au Russia wanatawaliwa na dictators. Hakuna upinzani katika bunge lenu. Hilo halijawahi kufanyika hata Somalia au South Sudan.I am really dissapointed seeing my once peaceful country turning into a state of using too much maguvu rather than using and abiding to fair elections, really sad! Airplames, roads, bridges, etc you name it, They really dont matter if there is no freedom of citizens.
Tufarijiane na kuoeana ushauri in this pandemic that has never been seen in tz
🤣🤣🤣🤣🤣wamelawiti uchaguziTulizoea CCM wakiiba kura kwenye kila uchaguzi ila awamu hii wamelawiti uchaguzi badala ya kuiba kura
Nilitegemea mtaani kutachafuka sana.Mikoa yote polisi wamekimbia na masanduku ya kura ,huko ngorongoro polisi wameua mpaka wakala 2
Kiukweli hakuna cha kufurahia hapa. This thing itaumiza uchumi na wananchi wengi sana.🤣🤣🤣🤣🤣wamelawiti uchaguzi
I thought zamani Wakenya walikuwa wana vurugu zisizo na maana and now I realize that democracy is really precious.Lindeni demokrasia. Mpambane ili msipoteze demokrasia yenu. Tunawashauri kwamba msilale. Demokrasia ikifa basi ni ngumu kuipata tena. Mtatawaliwa na diktator kama vile Egypt au Russia wanatawaliwa na dictators. Hakuna upinzani katika bunge lenu. Hilo halijawahi kufanyika hata Somalia au South Sudan.
😭😭 Kuna watu wengi sana wanaofurahia kilichofanyika just because wanadhani hii ni kama mechi ya kiushabiki barcelona vs madrid, Nchi kuwa na chama chenye influence inayozidi 90% kwenye bunge ni hatari sana, sijui nani atatutetea sasa maana maji hufata mkondo.Hii haikutarajiwa kwa watoto wa Nyerere kabisa. Kuna mtu alisema magu anamskiza Mkapa pekee, alipoaga huyo mtu akasema Tanzania ipo mashakani. Ila msife moyo, demokrasia itakuja Afrika siku moja
https://www.facebook.com/Lindeni demokrasia. Mpambane ili msipoteze demokrasia yenu. Tunawashauri kwamba msilale. Demokrasia ikifa basi ni ngumu kuipata tena. Mtatawaliwa na diktator kama vile Egypt au Russia wanatawaliwa na dictators. Hakuna upinzani katika bunge lenu. Hilo halijawahi kufanyika hata Somalia au South Sudan.
Brother that is just our nature, in reality you will find only 1 tanzanian out of 20 with guts to make his message heard when he or she is treated unfairly.Ccm power structure is too powerful and the Tanzanians want for change is too weak
Amani na utulivu has never brought changes/reforms in any country, ever!! and it will not get you the much needed change/reforms Tanzania needs
So nothing short of big protests where people are willing to dies and get seriously injured in the fight for change....and I don't think Tanzanians have that kind of resolve right now
Wow, Freedom of speech without any fear of what might happen after you speak is just way so healthy for democracy, Just wish it would have been the same
Wale wakufurahia matokeo ya kuwafuta wapinzani lazima wakuwe ila demokrasia ni demokrasia ikiwa kuna mpinzani wa kukuweka sawa. Ushindani mzuri ni ule wa mshindi kupongezwa na aliyemshinda.😭😭 Kuna watu wengi sana wanaofurahia kilichofanyika just because wanadhani hii ni kama mechi ya kiushabiki barcelona vs madrid, Nchi kuwa na chama chenye influence inayozidi 90% kwenye bunge ni hatari sana, sijui nani atatutetea sasa maana maji hufata mkondo