xng hua
JF-Expert Member
- Sep 24, 2016
- 3,302
- 5,379
Mbona umepanick na unataka kuambukiza watu panic zako?JPM anamuiga Kagame ambaye Kenya media na international communities zimekuwa zikimsifu. ukiangalia hamna tzofauti ya alichofanya JPM na Kagame kuanzia kuzuia mikutano ya vyama vya Upinzani mpaka kuwatia ndani wanasiasa wa Upinzani mpaka matumizi ya vyombo vya dola vya ulinzi kutishia Upinzani pia ballot stuffing and opposition votes stashing. Vijana wengi 35 and below (kwenye opposition strongholds) wamekuta majina yao hayamo on voting day though they were on registry list few days before! Ngoja tuone unafiki na reaction ya media zenu na international communities , JPM anaenda kuondoa term limit na serving term inaenda kuwa 7 years. He learns from the master himself!
Ok so asipoongeza muda utakumbuka huu utopolo wako? Kwanza aslong ana support ya watz almost 80% walasio shida kama unahasira sana hama nchi utuachie tz yetu.