IAfrika
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 280
- 222
Mwinyi alishinda na asilimia ngapi kule zanzibar?Hebu fafanua hesabu gani hazipatini kuhusu ushindi wa 76% ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwinyi alishinda na asilimia ngapi kule zanzibar?Hebu fafanua hesabu gani hazipatini kuhusu ushindi wa 76% ?
Mwinyi alishinda na asilimia ngapi kule zanzibar?
Wacha, hauwezi kuielewa76% , sijaelewa hoja yako ni ipi ?
Wacha, hauwezi kuielewa
Alaaaaaaa.... KuuumbeeeeeNi mkenya huyo huoni code number hiyo 254
Uchaguzi was fair na wananchi tumeamua kuachana na wahuni. Kama hutaki nakuruhusu kaishi Somalia, Sudan, Yemen, Libya, na Afghastan kwenye amani tele.I am really dissapointed seeing my once peaceful country turning into a state of using too much maguvu rather than using and abiding to fair elections, really sad! Airplames, roads, bridges, etc you name it, They really dont matter if there is no freedom of citizens.
The disadvantages of having no opposition parties in parliament gives me chills.
Tufarijiane na kuoeana ushauri in this pandemic that has never been seen in tz.
Aliekulisha huu utopolo nani?Sikuwahi kuona WIZI wa kitoto kama huu.
Ngoja uone economic sanctions Sasa especially half ya budget inatoka kwa mabeberu.
Maskini jeuri
Akili hunaMikutano ya hadhara sio source pekee ya wafuasi
Nakwambia tena, unaweza kuhisi sina, kumbe ni ww ndio hunaAkili huna
Kumbuka una toa maoni yako kwa vpn, Network imezimwa 😂😂 Mkuu acha uchimpanzeeUchaguzi was fair na wananchi tumeamua kuachana na wahuni. Kama hutaki nakuruhusu kaishi Somalia, Sudan, Yemen, Libya, na Afghastan kwenye amani tele.
Kumbe chimpanzee wewe unajuwa kusoma tu ila huelewi kilichoandikwa? Pole zako.Kumbuka una toa maoni yako kwa vpn, Network imezimwa 😂😂 Mkuu acha uchimpanzee