Wakenya, mna kipi cha kutushauri majirani zenu huu uchaguzi?

Vumilieni kwa sasa mkijiuliza ni wapi mlikosea na vipi mtarekebisha. Hapa Kenya tunawaangalia wanasiasa wakipiga siasa ila tushawajua kuwa hawana maslahi yetu kwa kazi yao bali ni matumbo yao.
Ndivyo walivyokua wapinzani wa huku ndio maana kimewakuta hiyo ndio faida ya kupinga maendeleo walizani wanaikomoa ccm kumbe wanajikomoa wenyewe Watanzania sikuhizi hawapendi chama wanaangalia maendeleo yao.
 
Ur take on this




I have read it but they are saying servers are hosted in Kenya. So what? That does not mean that the Kenyan state is involved. They have not provided any evidence to show that Kenyan intelligence officers are involved. What they have proved is that the servers are in Kenya. They have proved nothing else.
 
Kenya hatuwezi kufanya ujinga mliofanya.
I am Kenyan, I know Kenya will be worse. I know Kenyan politicians and their strategist are watching this are they are thinking that rigging does not have to be a secret it can be done in open and overwhelm anyone who is for a credible election. By 2022 state capture by politicians will be complete and there is nothing we will be able to do.

 
Tunaongea juu ya uchaguzi, wewe unataka tu kuwalaumu wapinzani. Hata wakati wa Kikwete hao wapinzani hawakukosa hitilafu. Waziri wa ulinzi anashinda kura kwa asilimia 76. Hesabu mingi za kura hazipatani.
 
Itakuwaje tukiambiwa kuwa hawakuiba kura isipokuwa wananchi wameamua wenyewe
Kwa nini tuambiwe hivyo wakati kuna ushahidi wa waziwazi unaothibitisha kuwa CCM walilawiti uchaguzi huu? Kura fake kwa maelfu yake zimekamatwa waziwazi mchana kweupe,askari walikuwa wanawafukuza mawakala vituoni wakati wa kuhesabu kura,barua za mawakala hazikuletwa kwenye mamia ya vituo vya kupigia kura.

Barua za mawakala zilicheleweshwa makusudi kuletwa kwenye mamia ya vituo vya kupigia kura,mawakala walibadilishiwa vituo makusudi ili kuwachanganya, mawakala wamewekwa ndani na jeshi la polisi kutwa nzima kwenye mamia ya vituo nchini,mawakala wamepigwa na polisi, maOCD wamekimbia na masanduku ya kura kwenye vituo kadhaa vya kupigia kura, kura fake zimeingizwa kwenye mamia ya vituo vya kupigia kura e.t.c.Hii siyo kulawiti uchaguzi?
 
Mkuu we hili halikuhusu? Naona umejitoa uhusika kana kwamba we hauhusiki Mkuu
Au we ni Mkenya?
 
nimesoma yoote
Your Govt is accusing the Kenyan govt? That is a very serious matter. Sasa mbona huwa unategemea media yetu ireport mambo mazuri yanayofanyika huko kwenu? Huoni hii ni uhasama unatengenezwa baina ya serikali hizi mbili?
 
Tunaongea juu ya uchaguzi, wewe unataka tu kuwalaumu wapinzani. Hata wakati wa Kikwete hao wapinzani hawakukosa hitilafu. Waziri wa ulinzi anashinda kura kwa asilimia 76. Hesabu mingi za kura hazipatani.

Hebu fafanua hesabu gani hazipatini kuhusu ushindi wa 76% ?
 
Sorry! but you deserved such a backlash for you underestimated the feelings and basic wishes and needs of the people of which you thought for their support.

At this stage the oppositions must recollect themselves and do a thoroughly and serious postmortem on their conducts before, during and after the elections for they might discover "a missing link' between their parties and the ordinary citizens. Kujikwaa siyo kuanguka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…