Wakenya, mna kipi cha kutushauri majirani zenu huu uchaguzi?

Magu ameshangaza dunia nzima. Hata sisi wakenya tumeshangaa mpaka tutakosa lakusema. TZ naona siku za usoni mambo yatawaendea vibaya sana maisha kiuchumi pia yatakuwa magumu. Uchumi utazorota.
 
Uchaguzi was fair na wananchi tumeamua kuachana na wahuni. Kama hutaki nakuruhusu kaishi Somalia, Sudan, Yemen, Libya, na Afghastan kwenye amani tele.
 
wakenya tunataka bunge la ccm wamongezee madaraka magufuli atawale milele
hadi ile siku Mtakapojituma kumondoa
 
Sikuwahi kuona WIZI wa kitoto kama huu.
Ngoja uone economic sanctions Sasa especially half ya budget inatoka kwa mabeberu.
Maskini jeuri
Aliekulisha huu utopolo nani?
FYI hatuwategemei hata kwa 2%
 
Uchaguzi was fair na wananchi tumeamua kuachana na wahuni. Kama hutaki nakuruhusu kaishi Somalia, Sudan, Yemen, Libya, na Afghastan kwenye amani tele.
Kumbuka una toa maoni yako kwa vpn, Network imezimwa πŸ˜‚πŸ˜‚ Mkuu acha uchimpanzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…