Wakenya, ni mjinga pekee ndiye anaharibu vitu alivyojenga kwa pesa yake mwenyewe

Suluhisho ni wananchi wasikilizwe kile wanachokitaka na serikali itimize wajibu wake Kwa raia wala hutoona mikinzano kama hii.

Suala la polisi na watu wa usalama nchini kenya wanatimiza majukumu Yao ya kulinda raia wao kama vyombo vya usalama kazi Yao si kuwa upande wa serikali Kwa kuua na kupiga raia kwakua wanadai haki Yao ya msingi kidemokrasia Kwa serikali Bali ni kulinda raia
 
Kenyatta alisema
1. Waganda wajinga wakielimishwa watakuwa welevu na kujua haki zao
2. Wakenya wamelala usingizi, wakiamka watadai hai zao na watazipata
3. Watanzania ni maiti, mizoga, maiti haziwezi kufufuka.

wewe uko wapi?
 
Kenyatta alisema
1. Waganda wajinga wakielimishwa watakuwa welevu na kujua haki zao
2. Wakenya wamelala usingizi, wakiamka watadai hai zao na watazipata
3. Watanzania ni maiti, mizoga, maiti haziwezi kufufuka.

wewe uko wapi?
Alisema wapi au ndio zile stori za vijiweni?😎
 
Wapi wapo wenye akili?
Duniani kote uharibifu hutokea wakati wa maandamano kwa kuwa emotions huwa juu.
Labda wabongo ndo hamjui kwa kuwa hatujazoea kuandamana hapa.
Tunapelekeshwa tu kama ming'ombe.
 
Hata mimi nimewapima hawana ufumbuzi mikononi Kwa matatizo walioyasababisha wenyewe, they created problems without solutions
 
Wakenya wana akili sana, wanajua hivyo vitu wanavyoharibu thamani yake ni ndogo ukilinganisha na mapesa mengi wanayokula wanasiasa wa serikali ya Ruto.
Aaaah!! Umenikosha sana big thinker, kuharibu vitu ni njia ya kufikisha ujumbe kwa Dunia pia.
 
Rudisha picha ya ID huyo kabla watu wajashtuka wewe mjinga. Kamati ya watekaji ostabey uvccm
 
Hao wanao pinga matumizi mabaya ya kodi yao, au hawa walioko Tanzania?
Maandamano ya wenzetu kama Turkiye na Germany umeyaona!?
Ni maandamano ya akili na ustaarabu,sio kama ya Kenya.
Wanavunja majengo ya biashara,wanachoma moto vitu na magari,wanavamia majengo ya serikali n.k n.k.
Je hilo ni sahihi!?
Halafu baadae mtumie kodi zenu zilezile kurekebisha mlichovunja.
Hizo ni matope sio akili.
Ulaya na kwingineko huwezi kuona uharibifu wa mali za umma kipindi cha maandamano.
 
Wakenya wana akili sana, wanajua hivyo vitu wanavyoharibu thamani yake ni ndogo ukilinganisha na mapesa mengi wanayokula wanasiasa wa serikali ya Ruto.
Wanajikandamiza wenyewe.
Majengo wanayoharibu ya biashara ni za biashara zao wanatiana umasikini wenyewe.
Magari wanaochomeana ni mali zao wanatiana umasikini wenyewe.
Na katika maandamano hayo hayo kuna uporaji pia umefanyika,huoni wanajiumiza wenyewe!?
 
Unamfanyiaje ustaarabu fisi wa madoa doa🫠
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…