Jidanganye endelea kujidanganya.Baada ya muda Fulani Kenya itakuwa kama America na Ulaya katika maswala ya democracy, mifumo ya uongozi n.k
Ni hatua kuelekea kukua
Sawa ila Kenya ina potential ndogo kaka.
Potential bimaana fursa...mtaji mkubwa, au potential ya Wakenya, ni akili, maarifa, ari, na uchapakazi, wa wananchi wake.
Mzazi wangu mmoja ana asili ya kikuyu , kwa Tz ni jamii gani hata kwa ukaribu tu inaweza wapata wakikuyu kwa uchumi?
Kenya inaongoza kuwa na viwanda vingi E. Africa .Potential bimaana fursa.
Fursa ni chache sana Kenya.
Wasukuma umejipakulia minyama mkuu😁Wasukuma Wakinga Wapemba.🏃🏾♂️
😂😂😂😂😂😂😂Viwanda ndio fursa pekee!?Kenya inaongoza kuwa na viwanda vingi E. Africa .
Nimekuelewa mkuuWakenya hawana akili wanaharibu vitu vilivyojengwa kwa pesa yao wenyewe.
Ni mjinga pekee ndio anaweza kuharibu vitu alivyojenga kwa pesa yake mwenyewe.
Demokrasia ya Kenya haina balance haieleweki polisi hawaeleweki yaani usalama wa nchi hauleweki.
Haeleweki mwenye nguvu ni nani.
That's not democracy
Sio fursa pekee mkuu ila ni moja wapo za fursa.😂😂😂😂😂😂😂Viwanda ndio fursa pekee!?
Kwa hiyo mkuu watu wajipange wakisema kuwa fursa nzima iko kwa viwanda!?
Potential bimaana fursa.
Fursa ni chache sana Kenya.
Sio Wakenya wakawaida bali washika nchi ndio wanaofanya hayo...Wakenya wako ambitious na aggressive kwa wanaweza kutengeneza fursa mahali ambapo unaona hakuna fursa.
..Kwa mfano, sasa hivi maeneo mengi ambayo iliaminiwa hayafai kwa kilimo Kenya wameanza kulima kwa kutumia teknolojia ya umwagiliaji, na wanafuga wanyama wachache lakini wenye tija.
..Wakenya wanazalisha maziwa mengi kuliko nchi zote za Jumuiya ya Afrika Mashariki. Lakini wao ndio wenye ardhi isiyo rafiki kwa kilimo na ufugaji kuliko nchi zote ktk jumuiya.
Mkuu upo sahihi mno..Wakenya wako ambitious na aggressive kwa wanaweza kutengeneza fursa mahali ambapo unaona hakuna fursa.
..Kwa mfano, sasa hivi maeneo mengi ambayo iliaminiwa hayafai kwa kilimo Kenya wameanza kulima kwa kutumia teknolojia ya umwagiliaji, na wanafuga wanyama wachache lakini wenye tija.
..Wakenya wanazalisha maziwa mengi kuliko nchi zote za Jumuiya ya Afrika Mashariki. Lakini wao ndio wenye ardhi isiyo rafiki kwa kilimo na ufugaji kuliko nchi zote ktk jumuiya.
Jidanganye endelea kujidanganya.
Kenya ni nchi ya wezi tu,kila ataeingia madarakani ni sawa na aliyetoka.
Hayo maandamano hayajaanza leo na hayakuleta impact yeyote.
Na mbaya zaidi Kenya ni nchi ya tribalism na nepotism.
Unatarajia democracy na mifumo bora ya uongozi itakujaje?
Nchi ambayo imeongozwa na makabila mawili tu toka izaliwe kwa kuendekeza ukabila!?
Sio Wakenya wakawaida bali washika nchi ndio wanaofanya hayo.
Lete takwimu mkuu...wanaofanya hayo ni wakulima wadogo, na wa ngazi ya kati.
..nakupa challenge. tembelea maonyesho ya kilimo Nairobi, na maonyesho ya Nanenane, halafu njoo utoe mrejesho.
Umejidanganya mkuu kwasababu kwa maandamano yaliyofanyika Kenya basi kama progression ingeshafanyika.sijajidanganya bali ni vile mimi nimeona na kwa kuzingatia hatua za maendeleo ya mwanadamu kihostoria.
Sijaandika kwa kuhemka bali nime zingatia uzoefu na historia ya hatua za ujuaji na maendeleo.
u wewe za usielewe sasa ukaja kuelewa badae.
Hao wanao pinga matumizi mabaya ya kodi yao, au hawa walioko Tanzania?
Wakenya wana akili sana, wanajua hivyo vitu wanavyoharibu thamani yake ni ndogo ukilinganisha na mapesa mengi wanayokula wanasiasa wa serikali ya Ruto.