GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Kwa Tanzania, sharti uwe na safari ndiyo utapewa pasi ya kusafiria(passport).
Utaratibu ukoje Kenya?
Utaratibu ukoje Kenya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa upewe passport huna safari, Ya nini? ID card ndo haki yako!Ila hii nchi ina watu wajinga na wadhaifu kuliko watu wote chini ya Jua na nchi mbalimbali.
Watu wanaburutwa na mifumuko ya bei, ufisadi, hali duni, elimu mbovu, hakuna ajira, on top of that mambo ya passport tena?
watu wapo tu yani wapo tu
Nakuhakikishia kuwa Danganyika inaongoza kuwa na watu wajinga wengi
kama unabisha ntajie nchi 1 yenye ujinga kuzid Bongo
Acha uongo passport ni haki yako regardless what?,mtaendelea kuburuzwa na royal families kwa generations zote hapa ni push back tuSasa upewe passport huna safari, Ya nini? ID card ndo haki yako!
Mkuu, hivi utajiri unapatikana kwa kusafiri "aimlessly?". Sera ya nchi yetu ni kutoa passport kwa mtu mwenye sababu za msingi za kutaka kusafiri, ukiwa na sababu za kusafiri ndio unapewa passport.Sera ya nchi ni kumfanya Mtanzania awe fukara zaidi. Ni marufuku kwenda kusaka malisho mabichi nje ya nchi.
Mbona hasira Sana?, wewe Kama unasafari nje ya nchi kwa lengo jema na la msingi, nenda uhamiaji ujieleze utapewa, au unataka Kila mtu apewe passport Ili waende wakajiunge na vikundi vya ugaidi huko Somalia, Nigeria, Msumbiji na Afghanistan?Ila hii nchi ina watu wajinga na wadhaifu kuliko watu wote chini ya Jua na nchi mbalimbali.
Watu wanaburutwa na mifumuko ya bei, ufisadi, hali duni, elimu mbovu, hakuna ajira, on top of that mambo ya passport tena?
watu wapo tu yani wapo tu
Nakuhakikishia kuwa Danganyika inaongoza kuwa na watu wajinga wengi
kama unabisha ntajie nchi 1 yenye ujinga kuzid Bongo
Ndio sababu Kenya is ranked poorly on security, Globally Tanzania is ranked position 54, while Kenya 125.Huku Kenya unapata passport wakati wowote unahitaji passport ata kama utakufa bila kuwahi itumia hiyo passport.
Bora uwe na passport fee na vyeti vinavyohitajika..
Birth Certificate.
Parents IDs + Birth certificate etc..
Kenya pia imekubali uraia pacha kwa wanainchi wote hadi watoto
Uongo sana huu. Kwa faida gani unazusha hiviKwa Tanzania, sharti uwe na safari ndiyo utapewa pasi ya kusafiria(passport).
Utaratibu ukoje Kenya?
Shida Iko wapi?Mbona me I applied mine wakati sina mpango wa kusafiri mazee.
Nashangaa these guys wanasema tz unapaswa ku apply ukiwa unataka kusafiriShida Iko wapi?
Passport ni kama.ID tu
Bora ulipie fee ata kama itaozea kwa nyumba .
Siyo bure, kuna kitu hakipo sawa.Sera ya nchi ni kumfanya Mtanzania awe fukara zaidi. Ni marufuku kwenda kusaka malisho mabichi nje ya nchi.
"Jasho jingi wakati wa mazoezi, damu kidogo wakati wa vita"Sasa upewe passport huna safari, Ya nini? ID card ndo haki yako!
Yaani basi tu alimradi ajione mnyonge na kujidharau.🤣Uongo sana huu. Kwa faida gani unazusha hivi
Hongereni! Huku kwetu ni mtiti hasa!!!Huku Kenya unapata passport wakati wowote unahitaji passport ata kama utakufa bila kuwahi itumia hiyo passport.
Bora uwe na passport fee na vyeti vinavyohitajika..
Birth Certificate.
Parents IDs + Birth certificate etc..
Kenya pia imekubali uraia pacha kwa wanainchi wote hadi watoto
Kuna mawili, ama "hadhi" yako ilikubeba, au kuna namna ulifanya tofauti na wengine. Uhamiaji hawataiprocess passport usipojibu hicho kipengele cha DHUMUNI LA SAFARI.Mbona me I applied mine wakati sina mpango wa kusafiri mazee.
Kwa mtu binafsi ni ID ila kwa serikali Kuna mambo mengi sana, Kumbuka raia akiwa nje ya nchi serikali inapoteza udhibiti juu yake lakini bado serikali Ina wajibu wa kumlinda Kama ilivyotokea Sudan.Shida Iko wapi?
Passport ni kama.ID tu
Bora ulipie fee ata kama itaozea kwa nyumba .