Wakenya Tupeni Uzoefu Wenu Kuhusu Passport

Wakenya Tupeni Uzoefu Wenu Kuhusu Passport

Mkuu, uraia pacha huutaki wewe, lakini huwezi kuuzua.
 
1683908435346.png
 
Nahisi labda kitengo cha passport ndio kitengo chao uhamiaji cha kujiokotea pesa za rushwa kama ilivyo kitengo cha traffic kwa police, hivyo si ajabu huo urasimu una baraka zote kutoka juu maana hizi kelele hazijaanza kupigwa juzi wala jana, kama wanataka kubania hizo passport watafute sababu nyingine za msingi ila siyo hivyo visingizio vya kipumbavu ambavyo wao wanaona ndio sababu za msingi
Uko sahihi
 
Nigerians wachache wasiokubaliwa Duniani
Wa igbo wana akili za kufa mtu dunia nzima inawataka
Dangote mu igbo wana akili za kufa mtu

Kikwete akiwa Raisi alimufuata Nigeria aje kuwekeza Tanzania

Harusi ya binti yake Nigeria hadi Biily Gates bilionea namba moja alihudhuria

Nimekutana na wanigeria waliniambia Tanzania kutoka ipate hata wa igbo watano tu huwa wana business hatari
Kikwete akatafuta mu igbo mmoja tu Dangote mziki wake nchi nzima insjua Dangote ni nani

Nigeria ina watu zaidi ya milioni mia mbili hakuna nyumba waweza kosa product ya Dangote

Sema uhamiaji hawako vizuri sana kuijua Nigeria
sasa mbona hawatoki kwenye umaskini wanaishia kwenye utapeli?
 
Hukuwa na nia tu ya hiyo kazi, kama una Nia na lako jambo ni lazima utalifanikisha, Yani Barua tu ya mualiko ndio inakutisha hivyo, hiyo ni kitu ya kujiandikia wewe mwenyewe kama hujui nenda hata Stationary baada ya hapo tafuta copy yeyote ya passport ya mtu then unaambatanisha na hiyo Barua ya mualiko (ambayo umejiandikia mwenyewe) ambapo ukifika immigration unawapanga kwamba Barua imetoka kwa huyo mwenyeji wako wa mchongo, watakuhoji maswali kadhaa ambayo yanajibika baada ya hapo unasubiria passport yako

Dunia ya sasa sio lazima unyooshe kila kitu, sasa kama kwenye Passport unambwela mbwela hivi, ukitaka ku apply Visa ya Marekani au UK itakuaje? Maana huko ndio kuna vigingi sio mchezo, lakini still watu wana cheat na Visa wanaipata

Visa ya marekani wanaiwekea vigingi navikwazo kana kwamba unaenda peponi. Lkn wakikubali kukupa, ni mwendo wa mwaka kwa mwaka, hata ukiomba ya kukakaa miezi 6.
 
sasa mbona hawatoki kwenye umaskini wanaishia kwenye utapeli?
Wanigeria taasii zote.za kimataifa wamejaa kibao ziwe za Africa, African Union au zote za umoja wa mataifa

Mnigeria akisoma hataki local certification ya nchi awe engineer,mhasibu nk anataka International certification kwenye fani yake
Watanzania wengi wako tu locally certified na bodi local za ndani ya nchi za kiswahili

Ikitokea post ya ajira ya kimataifa mtanzania kumshinda Mnigeria ni ndoto mtanzania lazima hata kuwa shortlisted asiweze
Wanigeria matapeli sio wasomi ndio maana hat ukitapeliwa kama ukiwa msomi wasomi wenzio wakihoji ulivyotapeliwa wataishia kutoa conclusion kuwa you are stupid.ndio maana ukatepeliwa
 
Hata Tanzania wapo, tena wengi tu, ambao ni maprofessional. Halafu wako punctual kwenye muda. Na hapo kwenye muda, namkumbuka mmoja wa Walimu wangu, Dr. Nwoye.
 
Mkuu, uraia pacha huutaki wewe, lakini huwezi kuuzua.
Siwezi kuuzuia ? Enheee, utafanikiwa lini? Toka lini umeanza kuombwa na haujaja ? Maisha mafupi haya bro, ukisubiri kitu miaka 50 manake kimeshindikana.

Mheshimiwa aliyefariki leo alikuwa anapigia chapuo jambo hilo kwa vile wanae wako nje allegedly, possibly true manake hatujawasilia kugawiwa vyeo serikalini. Alikuwa foreign minister miaka nane, kaka ake alikuwa Rais miaka 10, hawakuweza kulipitisha hilo jinamizi. Halafu unajipa moyo eti mimi ndio siutaki. Watu wanaoishi TZ ndio hawautaki. We got more pressing issues domestically.

How the hell can we possibly allow people in New Castle and New Hampire washike ardhi na kuwa displace, kuwanyima na kuwabananisha ardhi watu wanaoishi Simanjiro and Simiyu ?????? How dumb, how epically stupid would we be ?

Over our cold dead bodies.
 
Nothing is common but changes! The time will tell!!
 
Nothing is common but changes! The time will tell!!
Incumbent president IS NOT on board with that dual citizenship absurdity. She told you that in the face when she came over there last year. You have to wait a decade and pray that the next head honcho is for it. Meanwhile, we have pressing domestic priorities. Diaspora issues are the least of our worries. Just enjoy life there in Helsinki and Sydney, make the most of it, good luck, be safe. We are here fixing up this fatherland in Mbamba Bay.
 
Friend, why do you seem to be panicking?

By the way, I am not living in diaspora, but that does not make me fail to see the importance of our fellow Tanzanians living abroad being granted their right- DUAL CITIZENSHIP.

You should know that DUAL CITIZENSHIP is not a matter of leaders' preference, but a need of the time. It is inevitable. You can't compete with time.

Perhaps, "today's" leaders may reject it, but "tomorrow's" will not do the same.

Tanzanians deserve PASSPORT and DUAL CITIZENSHIP!!!
 
Back
Top Bottom