MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Mamia kwa mamia ya raia wa Kenya wameonekana na mabegi yao katika mipaka ya Tanzania na Kenya kutafuta hifadhi baada ya sintofahamu ya tarehe 26/10.
Kwa siku ya jana watu zaidi ya 700 kutoka Kenya walionekana katika mpaka wa Tarakea,huku wngine zaidi 1300 wakionekana katika mipaka ya Holili na Tarime huku maelfu wakihofiwa kuvuka bila vibali maalum.
Wakenya hao piga ua hawezi kwenda Sudan wala Somalia na hivyo kuamua kukimbilia nchi ya amani na ustaarabu wa kiswahili,huku wakitegemea kupata maziwa na asali.
MAONI.
Jamani karibuni sana mjisikie mko nyumbani lkn mjue kabisa Uhuru na baba Odinga familia zao ziko na zitaendelea kuwa salama hata kama kila Mkenya atakufa.