Wakenya waanza kufurika kwenye mipaka ya Tanzania,ni sintofahamu ya tarehe 26.

Wakenya waanza kufurika kwenye mipaka ya Tanzania,ni sintofahamu ya tarehe 26.

ina maana hawakujiandikisha kupiga kura? wasiingie huku mpaka wapige kura.... wapambane na hali yao kwanza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Nipo kericho hapa,aisee kuna foleni ya watu utafikiri wakimbizi wa syria wanaelekea kwenye nchi ya ahadi tz,kwa hofu ya machafuko kutokea wakati wa kupiga kura alhamisi.

Wakenya huwa wana tamani sana nchi yao ingekuwa kama Bongo sema ndo hivyo tena familia kadhaa zinamiliki nchi nzima. Lol, Kenyans welcome to East African paradise

Kuna mkenya yupo mkoa flani Tanzania hataki hata kujiita mkenya anaipenda Tanzania mpaka unamshangaa a naona Tanzania ni kama ulaya akilinganisha na maisha aliyokua anaishi huko Kenya

So far so good ni kuwa Wakenya wengi wanaofanya kazi Tz hawana habari ya kurudi kwao tena.. Wengi wao wandai hapa Bongo ndio wamekwisha fika kwenye nchi ya maziwa na asali.
Nashangaa wakenya wanaoiponda nchi yetu kwa kuiona kwenye picha, ila siku wakibahatika kufika huku hawatotamani kurudi kwao!
Haya bwana naona mnatekeleza majukumu ya kazi
 
So far so good ni kuwa Wakenya wengi wanaofanya kazi Tz hawana habari ya kurudi kwao tena.. Wengi wao wandai hapa Bongo ndio wamekwisha fika kwenye nchi ya maziwa na asali.
Nashangaa wakenya wanaoiponda nchi yetu kwa kuiona kwenye picha, ila siku wakibahatika kufika huku hawatotamani kurudi kwao!
Wanajifanyaga wajanja kumbe mburura tu, Oohh wasukuma wawili wanaswaga ng'ombe milioni 50, Leo wamegeuka nyumbu kuhama kutoka Kenya kuja Tanzania.
 
Kuna mkenya yupo mkoa flani Tanzania hataki hata kujiita mkenya anaipenda Tanzania mpaka unamshangaa a naona Tanzania ni kama ulaya akilinganisha na maisha aliyokua anaishi huko Kenya
Kuna mmoja hapa mtaani ni kinyozi tu hana kazi nyingine, saluni yenyewe spana mkononi, hataki hata kusikia taarifa za kwao, ukimuita mkenya anatamani akumeze. Shuwaini wakubwa.
 
Uongo mtupu mm nipo mpaka wa tarakea mambo yapo shwari kabisa
 
Wasilete balaa zao huku. Sisi wenyewe tunazo balaa zinazotuzidi uwezo mpk tumejiandaaje submit kwa Mungu mwenyewe kwani ndiye muweza peke yake

Lmao! Ebu kuwa mkarimu kwa wageni [emoji3]
 
Haha watz bana wanaongea uongo hadi inakuwa ndo ukweli. Wakenya wakiamua kutafuta hifadhi labda Uganda, tz wakenya wengi sana watahofia. Siunajua watz kukaribisha wageni weusi kwao ni shiida?

Acha ujinga wewe paki mizigo ingia Tz tutakupa hadi mahindi ule ugali ushibe vita ikiisha urudi kwenu na mdomo wako mchafu
 
Acha ujinga wewe paki mizigo ingia Tz tutakupa hadi mahindi ule ugali ushibe vita ikiisha urudi kwenu na mdomo wako mchafu
Kwa huu mwaliko wako? Sijui kwanini lakini ghafla tu nimejipata nahofia usalama wa maisha yangu. hehehe 🙂
 
Kwa mkenya aliyevuka na hana pa kulala karibu sana mimi nipo Arusha !
 
Waje na kampunga kidogo wasije mikono mitupu mgeni aje mwenyeji apone..
 
Hata kama habari hii haina uthibitisho wa picha kwa sasa lakini ndicho kitakachotokea ktk siku chache zijazo. Hivi wakenya wataenda wapi ambako wstajisikia amani kuishi kama si Tz ?
Tatizo la wakenya ni kuichukia tz lakini hawajui Tz ni msaada sana kwao ktk mambo mengi ya kidiplomasia na hasa wakati wa majanga ya uchaguzi ambayo kwa inavyooneka hawako tayari kuyamaliza. Wakenya mjifunze kwa watanzania.
 
Mikoa ya klm na arusha nimeshuhudia magari mengi yenye plate namba za kenya yameongezeka.
 
Back
Top Bottom