Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha watz bana wanaongea uongo hadi inakuwa ndo ukweli. Wakenya wakiamua kutafuta hifadhi labda Uganda, tz wakenya wengi sana watahofia. Siunajua watz kukaribisha wageni weusi kwao ni shiida?
Shenz type Kajiado county ni kwetu mida ya saa kumi nimekuwa hapo just next to Diamond plaza. Uko wapi hasa hapo Namanga? Biashara imekuwa ni kama kawaida hamna cha wakimbizi wala nini!Una pingana na ukweli, mimi nipo namanga hapa wakenya zaidi ya 2k wamevuka siku 3 mfululizo
MAONI.
Jamani karibuni sana mjisikie mko nyumbani lkn mjue kabisa Uhuru na baba Odinga familia zao ziko na zitaendelea kuwa salama hata kama kila Mkenya atakufa.
Hatutaki mabalaa sisi. Uwaneni msije huku.Haha watz bana wanaongea uongo hadi inakuwa ndo ukweli. Wakenya wakiamua kutafuta hifadhi labda Uganda, tz wakenya wengi sana watahofia. Siunajua watz kukaribisha wageni weusi kwao ni shiida?
Hata tovuti anaye publish ni mtu tu kama mtoa postHadithi za vijiweni hizi. Tovuti ya Chimbuko la habari yako ii wapi?
Eti mkenya akifika Tz kaona maziwa na asali. Anyway, I'll adhere to the gentleman code and allow you folks to maintain your fiction.
Lakini jua ukiona mkenya kakatalia kwenu huyo ameona pesa za bure za kukamuliwa. Ni bongo LA biashara.
Usiwe na hofu wala hatutakuja tz. Nyang'au tukitua huko kwa wingi baada ya miezi mitatu tutakuwa si ndo tunauza bidhaa zote kutoka switi, mkaa, bidhaa za ujenzi, silaha kali kali na haramu pia. Mtageuka wakimbizi huko huko kwenu tz. Siunatujua vizuri? Wakenya hatunaga utani jombaa. 😀😀😀Hatutaki mabalaa sisi. Uwaneni msije huku.
Mamia kwa mamia ya raia wa Kenya wameonekana na mabegi yao katika mipaka ya Tanzania na Kenya kutafuta hifadhi baada ya sintofahamu ya tarehe 26/10.
Kwa siku ya jana watu zaidi ya 700 kutoka Kenya walionekana katika mpaka wa Tarakea,huku wngine zaidi 1300 wakionekana katika mipaka ya Holili na Tarime huku maelfu wakihofiwa kuvuka bila vibali maalum.
Wakenya hao piga ua hawezi kwenda Sudan wala Somalia na hivyo kuamua kukimbilia nchi ya amani na ustaarabu wa kiswahili,huku wakitegemea kupata maziwa na asali.
MAONI.
Jamani karibuni sana mjisikie mko nyumbani lkn mjue kabisa Uhuru na baba Odinga familia zao ziko na zitaendelea kuwa salama hata kama kila Mkenya atakufa.
Umesahau na baadhi ya bidhaa mtakazo kuja nazoUsiwe na hofu wala hatutakuja tz. Nyang'au tukitua huko kwa wingi baada ya miezi mitatu tutakuwa si ndo tunauza bidhaa zote kutoka switi, mkaa, bidhaa za ujenzi, silaha kali kali na haramu pia. Mtageuka wakimbizi huko huko kwenu tz. Siunatujua vizuri? Wakenya hatunaga utani jombaa. 😀😀😀
There is no a country which is known as Kenya, instead,What is Kenya?
Ulisha wahi kufanya kazi na raia wa kenya kwenye ofisi moja?Kuna mkenya yupo mkoa flani Tanzania hataki hata kujiita mkenya anaipenda Tanzania mpaka unamshangaa a naona Tanzania ni kama ulaya akilinganisha na maisha aliyokua anaishi huko Kenya