Wakenya waanza kufurika kwenye mipaka ya Tanzania,ni sintofahamu ya tarehe 26.

Nawasihi polisi wasimruhusu MK254 kupenya hapo mpakani kabisa.
 
There is no a country which is known as Kenya, instead,
1)People's Republic of Kenya
2)Central Republic of Kenya

It is the result of embracing tribalism, it pays back.
Mmh! Kenyaaaa! Its very disturbing country. We need amani in East Africa. Hatutaki vita jamani.
 
Mmh! Kenyaaaa! Its very disturbing country. We need amani in East Africa. Hatutaki vita jamani.
Waache wapigane kidogo ndiyo wataheshimiana kama Rwanda, hivi sasa kila kabila linajionw bora kuliko lingine, stupid hawa.
 
Wasilete balaa zao huku. Sisi wenyewe tunazo balaa zinazotuzidi uwezo mpk tumejiandaaje submit kwa Mungu mwenyewe kwani ndiye muweza peke yake
 
Weka Picha
 
Yani kwa east African countries hivi iko ambayo iko close kama Kenya & Tanzania?
 
Ivi kwanini watu ni wajinga? Sasa watapigana weeeh wakati odinga,kenyatta pamoja na familia zao wao watakuwa wameshakimbia nchi mapema kuacha mazwazwa wachinjane ,Africa aise..what a shame
 
kama ni kweli hiyo hali basi kuna asilimia ndogo mno za wao kupigana.
 
Haha watz bana wanaongea uongo hadi inakuwa ndo ukweli. Wakenya wakiamua kutafuta hifadhi labda Uganda, tz wakenya wengi sana watahofia. Siunajua watz kukaribisha wageni weusi kwao ni shiida?
Nendeni Somalia
 
Watu wa uchumi wa kati (walioendelea) wanakimbilia nchi masikini ya dunia ya tatu!
 
sidhani kama ni kweli maana muda si mrefu nilikuwa boda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…