With this of Mount Kilimanjaro on a KQ plane do i real want your attention.?? Najua nimewanyima usingizi. Nipo likizo kwa sasa nataka niwashike vizuri. Nipo na more than 10 issues to do with Kenya naziweka kusubilia the real right time. Nachotaka kujua huu wizi wakuiba hata visivyo amishika mmejifunzia wapi?? Unyangau umetoka serikalini ukashuka kwa RAIA wa Kenya!!?? Nipeni jibu mzee wa iPhone 7Mulisaa this guy wants Kenyans attention why should we give him
sent from iPhone 7
Hill sio tatizo mkuu. Lakini kumdanganya mtalii nitatizo kubwa just for your own interest. Wataona sisi na wakenya nimatapeli tunaoshilikiana. Kumbe ni minyangau. To give wrong information to a tourist nikitu kibaya sana. Kinatuchafulia jina sisi.Wala msiumize kichwa.wakitaka kupanda huo mlima watajua uko nchi gani.
Hii nayo ya Kenya airways ni Trolling au niunyangau??View attachment 541583View attachment 541583
Wanafanya mambo ya kishoga alafu wanamsifia jamaa, akili sijui za kuazima ama nini, ila hongera kwa bbc swahili kwa kuliangazia, dunia iwaelewe walivyo..
https://www.facebook.com/View attachment 541548
View attachment 541599
KLM hiyo mkuu ........hii hufanya safari kati ya Amsterdam na KIA ...sometime ni heshima tu sio kwa nia mbaya
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Na huyo Rooney akibaki bongo siku 2 tu kosa! Lazima tulee mimba yake!
Mkuu mie Mtanzania mwenzako.....usilalamike ...boresha ATCL ndo mwarobaini wa mambo yoteKLM na KQ nisawa na baba na mama. Kwani atujui kuwa hata zaidi ya nusu ya ndege za KQ niza KLM?? Pia na KLM mmewafundisha unyangau kama mlivyo wafundisha RAIA wenu hapo Kenya?? Niwapi mlijifunza Unyangau??Hicho chuo kinaitwaje??
Hahaa wakenya tuzidi kufanya yetu hadi kieleweke, waswahili wameshindwa kuandika chochote cha maana mitandaoni wote wamejazana kule insta ku like misambwanda tu..nendeni kwa ras simba awafundishe ka english japo na nyinyi msikike kidogo...narudia hakuna ataketupangia ss kama wakenya tuandike nn mitandaoni si mfalme na mathalan sio mswahili yeyote!
Siwaje Tz tuwape uraiatu!
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
KLM na KQ nisawa na baba na mama. Kwani atujui kuwa hata zaidi ya nusu ya ndege za KQ niza KLM?? Pia na KLM mmewafundisha unyangau kama mlivyo wafundisha RAIA wenu hapo Kenya?? Niwapi mlijifunza Unyangau??Hicho chuo kinaitwaje??
mada ni Mt.Kilimanjaro, mwezi wa nne wakati napanda mlima kupitia gate la marangu nilishangaa baada ya mwendo kama wa saa moja na nusu/mbili simu yangu ikaanza ingiza message, za kunikaribisha Kenya na mtandao wa Tigo unachange unasoma Vodacom Kenya nikajiuliza kama ni mgeni kama Rooney akiona ivyo si atakubali mlima uko Kenya? Nashauri wadau waliangalie hili tunataka mtu apate ujumbe wa simu kuwa yuko tanzania na sio kenya, ivyo basi ivi vitu vidogo vinachangia sana mada hii.
chukua mic utangaze waskie vizuri. thats the plain truth.Kwani ni uongo mlima kilimanjaro unaonekana kwa uzuri ukiwa nchini Kenya but kuukwea waeza ukiwa Tanzania hakuna shida Kenya kuutangaza sababu ndio ukweli wenyewe... sI kila mtalii anataka kuukwea wengine kuutizama tu yatosha
Kama ni utani mbona Kenya airways ndege zake zimeandikwa Mount Kilimanjaro. Huo sio wizi?View attachment 541566
Kwanini msipartent hilo jina na kufanya marufuku taifa au kampuni lolote kulitumia?Hill sio tatizo mkuu. Lakini kumdanganya mtalii nitatizo kubwa just for your own interest. Wataona sisi na wakenya nimatapeli tunaoshilikiana. Kumbe ni minyangau. To give wrong information to a tourist nikitu kibaya sana. Kinatuchafulia jina sisi.
Kwani hii ni nini? Umeanza kuleta siasa hapa.! Acha ujinga tupo serious juu yahili swala. Nyangau mwingine uliekosa matunzo. Wakenya mbadilike muache propaganda zakizamani. Unasikia nyangau??Mkuu mie Mtanzania mwenzako.....usilalamike ...boresha ATCL ndo mwarobaini wa mambo yote
Sio utani haiwezi waongee watu zaidi ya kumi useme utani. Mimi kuna mkenya tumewahi bishana kipindi nipo South Africa hadi tukatumia map lakini bado alionyesha kuto rizika hata kidogo. Nilijiuliza kwa nini mnaipigania Kili. Kwenye milango ya ndege mmeandika mt kilimanjarot
sasa wewe ldc unalialiia kama mtoto kanyimwa peremende. munafanyiwa advert ya tourist destination site ya bure ya mlima wenu na unacatch mafeelings ka dem. pesa za ku-run advert kwa CNN na BBC pia hamuna.Kwa
Kwani hii ni mini. Umeanza kuleta siasa hapa. Acha ujinga tupo serious juu yahili swala. Wakenya mbadilike muache propaganda zakizamani. Unasikia nyangau??View attachment 541651View attachment 541652 View attachment 541651