Wakenya wadai Mt. Kilimanjaro ipo Kenya kwenye FB page ya Wayne Rooney. Ni lini mtaacha wizi huu?

Nyangau mwingine katika ubora wake. Jambazi mkubwa wewe kutoka kwa Moi. Naona ulikuwa na Uhuru bar mkinywa pombe. Umekuja hapa kutapika story zakinyangau. Kalale utaandika kesho pombe zikiisha.View attachment 541653

Hata ututukane, wewe hujui ni mkataba gani Kenya na Tanzania imefanga kuyatangaza vivutio hivi vya kitalii. Kwao ni biashara, sio ushindani.

Maneno yako yenye chuki hayatabadili ukweli ya kuwa ni Kwnya imetangaza vivutio vyenyu kuwaliko nyinyi mnavyofanya.
 
Tanzania tunatangaza sana huko CNN penyewe wanatujua sana tu
 
Nyie mna pesa ya kutangaza premier league, mtatoa wapi mpaka muisaidie Tanzania.
 
Nyie mna pesa ya kutangaza premier league, mtatoa wapi mpaka muisaidie Tanzania.
haya ndio mambo tuliyokuwa tukiyashuhudia last season katika uwanja wa KCOM Stadium wakati Hull City ikiwa uwanjani.
Kenyan flag & Kenyan brand being on display kwenye banners za stadium... and the Tshirts too.
watch Everton's home games this season to see more
 
Hiyo bado haijafika na ikifika basi iandikwe...tatizo letu watz hatujaandaliwa tangu utotoni kutofautiana hoja...mtu akiwa tofauti na hoja yako tayari unamwona kama mbishi ama mjinga kama ulivyoniita...kumbuka sifa kuu ya binadamu ni kutofautiana hoja na ndio maana kuna mikutano, makongamano na social platform kama JF ili mwisho wa siku kufikia muafaka....

Nimekuambia suruhisho ni kuwa na ndege zetu basi nimalizie kabisa zenye safari za kimataifa ambazo zitakuwa zinabeba abiria kutoka nje ya nchi direct to Tanzania...Kilimanjaro inajulikana kama The Roof of Africa...KLM wamechukua kama opportunity kwa kuwa wao route ya Amsterdam to Kilimanjaro (KIA) wamekuwa wakitoa huduma zaidi ya miaka 15 na mpaa sasa wanaendelea lakini wenye nchi hatuna hiyo route (unabaki unalalamika na kuwaita wenzako wajinga kisa wametoa hoja tofauti na wenzako)

Hizo ndege zimeandikwa hivi karibuni baada ya ATC kupoteza route zake za Kimataifa lakini ndege zote zile Boeing ziliandikwa Kilimanjaro, Serengeti, Ngorongoro...na ATC yenyewe ilikuwa inajulikana kama The Wing of Kilimanjaro (jina the wing of Kilimanjaro nani kalitoa kama sio sisi alafu unalaumu KQ) hata kwenye matangazo ya biashara na tulikuwa tunaiita kwa jina lake Air Tanzania lakini siku hizi watu mnafupisha ATCL (sasa nani alieturoga kama sio sie wenyewe)

Ninaijua na nina uchungu na Air Tanzania kuliko wewe yaani tangu ina ndege ile ndogo Twin Otter, Fokker Friendship achilia mbali Boeing na enzi hizo ilikuwa inapiga route mpaka Dodoma na mikoa mingine kibao

Tuache kutafuta visingizio unajua kukanusha kuna gharama kuliko kutenda...waache waite sie tufanye yetu kuliboresha shirika hayo mambo mengine yatajulikana

Ethiopian Airline hiyo
 
Upuuzi tu hiyo sportspesa kuna watanzania wenye hisa kwa Tanzania sportspesa pia wazungu nao wana hisa za kutosha badly enough hapo nimeongelea tourist attractions advertisement sio mambo ya gambling Dah aise
 
Msishangae hata wazungu na wenyewe ni washamba tuu. Mtu ana safiri anashindwa hata kuangalia Google Map yake na kujua kwamba. Hiki kitu kipo sehemu gani? Ya afrika,
 
We

Wewe sio mtanzania. Nikoko wahuko Kenya. Usijifanye mtanzania kenge wewe.
Wakenya wanajulikana mkuu...mie ni Mtanzania mwenye maono tofauti na wewe ambae mtu akienda against unapanic ...fungua profile yangu angalia nyuzi ambazo nimechangia huwezi kuta nimetukana mtu ama nini ...ninaifahamu ATCL kuliko wewe unavyoifahamu hata tukiitwa tutoe maoni ya nini kifanyike nina mambo mengi mazuri ya kuchangia kuhusu mustakabari wa shirika letu kuliko wewe

Unachofanya wewe ni sawa na mwanafunzi ambae anaulizwa sababu ya kwanini amefeli anajibu kwa kuwa wenzake waliiba paper (je wasingeiba ina maana angefaulu)...ndo sawa na wewe ndege hatuna za kutosha tunawalaumu KQ ambao wao ndio wanatuletea wageni (nimekuonyesha Ethiopian airlines nayo ina Mount Kilimanjaro mbona hujawaponda)

ilikuwepo ndege imeandikwa Kilimanjaro hapo chin (Boeing 737)

Ilikuwepo imeandikwa Rufiji (Fokker Friendship)

Alietukoroga huyu hapa (Partnership na South Africa) - tukafuta na Twiga kwenye mkia - nani wa kulaumiwa (tujifunze self assessment)

Tukarudi wenyewe baada ya kuvunja mkataba na South (tukakumbuka kumrudisha Twiga japo hakunoga kama yule wa mwanzo enzi za mwalimu na tukarudisha The Wings of Kilimanjaro na tukasahau kuandika (ikabaki Airbus hap mbele) - kosa la nani hapa mkuu kama sio letu wenyewe

Tukaleta Bombardier (hatukuandika alafu wenzetu wanaandika tunabaki kulalamika)

Tujifunze kujifanyia self assessment...Mlima Kilimanjaro ni icon yetu ya Africa...wakiuandika wakifanya nini mwisho wa siku watalii wataingia Tanzania na kupanda
 
hili suala ingawa tunalichukulia kwa masihara ila limetuathiri mno,bado kuna watu wengi wanaamini huu mlima upo Kenya,lazima turudi back to basic tujitangaze ili ukweli ujulikane,why wakati balozi wa Kenya anapofanya maonyesho ya Kenya ughaibuni na kutangaza huu mlima upo Kenya,balozi zetu zinafanya nini kwa hili,mabalozi wetu ambao wengi ni cadre deployed wametulia kimya ,why mpaka leo bado suala hili la mlima ni tatizo?
 
mimi si walaum wakenya ata kidogo, maana ukiona opportunity catch it, sisi ndege za moja kwa moja hatuna wao wanazo watalii wakija wanafikia kwao au wanatumia Ethiopia Airline, njia yetu ya anga sijajua tangu ibinafsishwe kama isharudishwa au la ni kitu cha kushugulikia, ivyo kitengo cha advertisement hakiko makini. Tulijaribu uliza Serengeti kule Makao-Seronela eti wanashugulikia. Pia kiukweli kuuona mlima Kil.vizuri ni ukiwa Kenya Ila kuukwea ni Tz.
Ila sasa inabidi tushikiliane vizuri na Wakenya,maana tunaingia kwenye one currency, biashara sasa za ndani kusafirisha ni bure hakuna ushuru wa forodha, ivyo acha wao wafanye advert ambayo hatuwezi, na wakifika Kenya watakuja tu wenyewe kuukeya zaidi.
 
Kama vituo vya TBC Taifa awajielewi itawezekanaje? Nchi kutambulika
 

Ndugu, nawaombeni tu mtoe dhibitisho ya Kwamba Kenya inadai mlima huo ipo Kenya. Naomba tu. Na msinipe zile vijembe vya mtandao, bali the official statement from Kenya, be it from KTB or KQ inayosema mlima Kilimanjaro ni ya Kenya.
 
Povu ! Ulitaka umkumbatie wewe[emoji23] tafuta alshababu mmoja mkumbatie
 
hehe...hawa jamaa hawana akili...eti wameibiwa mlima...mtu anaiba aje mlima? pengine mnifunze nielewe...
 
.....Somehow hii ni comment nzuri kutoka kwa our Neighborhood Kenya, Be blessed

Dedication Lucky Dube- Together as one
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…