Wakenya wadai Mt. Kilimanjaro ipo Kenya kwenye FB page ya Wayne Rooney. Ni lini mtaacha wizi huu?

Leo mwaka 2020 hawa wakenya bhn...
Hata Samatta ni mkenya
 
Mwache Rooney aende Kenya kupanda mlima Kilimanjaro kama hajaambiwa unatakiwa kupata visa kwenda Tanzania ili ukapande huo mlima.
 
Tutaacha 'wizi' wa mlima siku mtakapoacha wizi wa kura.
Nani kaiba kura!!?? Nyie mnavyoiba kura mbona hamna mtu anayejihangaisha nanyi.

Tell your fellow dalali lisu... "accepting a disappointing election result is also a democracy". Tundu don't know this.
 
Yuko sahihi mbona unapyuniki?! Mt Kili ni kweli inaonekana upande wa Kenya, sijaona akisema mlima huo upo kunyaland japo ni kweli upande wa amboseli wanauwona na kuugusa ila haupandiki kwa upande ule maana upo Stepe sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…