Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwache Rooney aende Kenya kupanda mlima Kilimanjaro kama hajaambiwa unatakiwa kupata visa kwenda Tanzania ili ukapande huo mlima.Ukiingia kwenye page ya Facebook ya Wayne Rooney utasitaajabu ya Mkenya. Wakenya wanadai Mt. Kilimanjaro ipo Kenya bila kupapasa macho au aibu. Page ya Rooney imegeuka battle ground ya Tanzania vs Kenya vs Nigeria. vs Ghana.
Ningeomba tujadili hili swala nanyie Wakenya.
View attachment 541502View attachment 541504
Nani kaiba kura!!?? Nyie mnavyoiba kura mbona hamna mtu anayejihangaisha nanyi.Tutaacha 'wizi' wa mlima siku mtakapoacha wizi wa kura.
Ukiingia kwenye page ya Facebook ya Wayne Rooney utasitaajabu ya Mkenya. Wakenya wanadai Mt. Kilimanjaro ipo Kenya bila kupapasa macho au aibu. Page ya Rooney imegeuka battle ground ya Tanzania vs Kenya vs Nigeria. vs Ghana.
Ningeomba tujadili hili swala nanyie Wakenya.
View attachment 541502View attachment 541504