Wakenya wadai Mt. Kilimanjaro ipo Kenya kwenye FB page ya Wayne Rooney. Ni lini mtaacha wizi huu?

Wakenya wadai Mt. Kilimanjaro ipo Kenya kwenye FB page ya Wayne Rooney. Ni lini mtaacha wizi huu?

Leo mwaka 2020 hawa wakenya bhn...
Hata Samatta ni mkenya
 
Ukiingia kwenye page ya Facebook ya Wayne Rooney utasitaajabu ya Mkenya. Wakenya wanadai Mt. Kilimanjaro ipo Kenya bila kupapasa macho au aibu. Page ya Rooney imegeuka battle ground ya Tanzania vs Kenya vs Nigeria. vs Ghana.

Ningeomba tujadili hili swala nanyie Wakenya.

View attachment 541502View attachment 541504
Mwache Rooney aende Kenya kupanda mlima Kilimanjaro kama hajaambiwa unatakiwa kupata visa kwenda Tanzania ili ukapande huo mlima.
 
Tutaacha 'wizi' wa mlima siku mtakapoacha wizi wa kura.
Nani kaiba kura!!?? Nyie mnavyoiba kura mbona hamna mtu anayejihangaisha nanyi.

Tell your fellow dalali lisu... "accepting a disappointing election result is also a democracy". Tundu don't know this.
 
Yuko sahihi mbona unapyuniki?! Mt Kili ni kweli inaonekana upande wa Kenya, sijaona akisema mlima huo upo kunyaland japo ni kweli upande wa amboseli wanauwona na kuugusa ila haupandiki kwa upande ule maana upo Stepe sana

Back
Top Bottom