Wakenya walinunua hisa za Safaricom hadi wakapitiliza, WaTz wanabembelezwa na Vodacom wanunue

Wakenya walinunua hisa za Safaricom hadi wakapitiliza, WaTz wanabembelezwa na Vodacom wanunue

And still we're greater than you. You're just a bitter Bongo lala. With all our problems we continue to prosper.
Na by the way, DSE cannot even come close to NSE.
Hapa Nairobi twanunua hisa zote bila kubagua.
sababu nyingine ni za kihistoria, toka dunia iumbwe nyie mlikuwa mabepari na mabwanyenye na makabaila. on the other side sie tulianza na ujamaa na sasa tuko half ubepari even I hv not mentioned harakati zetu za kusaidia waafrika wenzetu. mdogomdogo mbona tutawapita Pamoja na kutangulia kwenu. tuko smart hatukurupuki.
 
Ni vigumu kupata link so many years later. But nakumbuka news wakati huo. The government had allocated 20% of the shares on offer to foreigners, but it turned out Kenyans had much more interest. 800,000+ individual Kenyans put money. Kuna wengi walirudishiwa pesa juu ya oversubscription, but from the 500% oversubscription, more than 95% was Kenyan money.
Si kweli 95% came from Kenyans
 
Nafkir safaricom hisa zao
Zlichangamkiwa sana
Kwa sababu ya kuwa na
Wateja weng wa huu mtandao
Safaricom ndo imebeba kenya
Nzima kwa mtandao na hawana mpinzan yan


Tofaut na Tanzania ambako
Vodacom ana upinzan mkubwa sana kama uhuru na raila Vodacom anashindana
Na kampuniy 4

Sasa mtu kwenda kununua
Hizo hisa lazma ajifkirie mara 2,mbili pengine anahofia
Kampuniy icje ikaanguka kwa
Upinzan uliopo tz
Kuna vitu viwili hapa vya kuzingatia.
1. Ununuzi wa hisa huangalia projection kama unaweza kupata faida kwa muda fulani. Sasa kuna taarifa za Vodacom kuwa na hali ya kusuasua(au tuseme hali sio nzuri) kibiashara kiasi cha kupunguza wafanyakazi. Nani anapenda kuwekeza ktk biashara yenye uelekeo wa kushuka hisa zake au kupata hasara?
2. Hali ya mzunguko wa pesa imekuwa ni changamoto kwa watu wengi kuanzia wafanyabiashara wakubwa hadi wadogo au wa kati kutokana na mabafiliko makubwa ya utekelezaji wa sera za uchumi wa awamu hii ya Mh.Magufuli. Watu wamekosa mtaji wa kununua hisa. Sekta binafsi zimeyumba na watumishi wa umma nao marurupu mengi nje ya salary yamesitishwa.
HITIMISHO: Pamoja unaweza kuwa upo sahihi kuhusu mtazamo wa watanzania lakini ni kwa kiasi kidogo sana. Miaka ya karibuni tumeona muamko mkubwa sana wa watanzania kununua hisa. Mtazamo au imani kubwa ya watanzania wengi ni kuwa makampuni ya simu yanaingiza faida kubwa sana kiasi watu wengi walitamani kuajiriwa nayo. Hivyo kwa mtazamo huo wasingeogopa kuwekeza mahali wanapohisi watatengeneza faida kubwa, sasa basi tuhitimishe kwa kuhisi tatizo kubwa watanzania wengi sasa wameyumba kiuchumi.
 
Ni vigumu kupata link so many years later. But nakumbuka news wakati huo. The government had allocated 20% of the shares on offer to foreigners, but it turned out Kenyans had much more interest. 800,000+ individual Kenyans put money. Kuna wengi walirudishiwa pesa juu ya oversubscription, but from the 500% oversubscription, more than 95% was Kenyan money.
Then this IPO ni 100% for Tanzanians,by seeing 20% is allocated for foreigners i guess wananchi wakajua hii ishu ni hot cake! Ni mtazamo wangu tu.
 
Hivyo vyote ni vijisababu vya kiujamaa, mara eti ingekua wakati wa Kikwete, mara Safaricom ndio mtandao pekee Kenya, mara mvua imenyesha sana.....uzembe mtupu. Mfungulie hiyo Voda muone kama tutakua na hivyo vijisababu vya Waswahili, tunafagia zote na kupitiliza, haijalishi kama kuna mitandao minigne Tanzania, haijalishi kama ni Kikwete au JPM, haijalishi nini wala nini, unawekeza kwa kwenda mbele.
ww umenunua hizo hisa unapiga domo tu....

na nataka uje na zaidi ya asilimia 20 tu za faida ya hao watu walio wekeza hisa safaricom

nimegundua nyie wakenya ni wapumbavu sana katika mnapenda mpate mali kirahisi rahisi .....
 
Tutajie gawiwo (dividend) ya Safaricom ni ksh. ngapi?
Nijipime laki mbili yangu nikiiwekeza huko italipa kuliko nikilima heka kumi za nyanya.

(najua kwenyu hamko na ardhi)
hajibu huyo maana yeye mwenyew hajawekeza kwenye hiyo hisa anayoisema na swali ulilomuuliza mpaka aka google ndyo atakujibu..
 
Risk takers ndio huwa wenye mafanikio. Sasa wewe unataka uwekeze sehemu isiyokuwa na ushindani!

Tena kampuni ya vodacom ndio nilitegemea watz wengi wanunue share zote kwa sababu ndiyo kampuni yenye umri mkubwa baada ya ttcl na performance yake ni juu ya zote zinazosubiriwa kuuza share zao.

Kuwekeza ni tabia na inahitaji ujasiri sana. Nadhani wachagga na Wahaya ndio watakuwa wamenunua kwa wingi share.
acha kujidanganya wew huku vodacom wateja wengi wapo vijijini huku vodacom si mtandao unaotamba kama ufikiriavyo.....vodacom haina wateja wengi kama tigo na airtel na sasa hivi kuna halotel

unapoongea uchunguze kama kwenu mtandao unaoongoza ni safaricom basi huku vodacom ni mtandao wakawaida sana una wababe wake
 
Tz yako sio tunayoishi. Hakuna Mtanzania anaadika Tz. Tulikuwa tunaadika TZ, with big Z kwenye number plates zamani.

Tafuta nchi yako ya Tz, iwe colonized tena. Mke wako afanye kazi ya vibarua kwa wazungu ili azae manigga.

Uchaguzi wenyewe unawashinda.
hilo nilikenya
 
@leadersofleaders huko kwao hawana choice innovation kwao ni Mpesa tu bila kuangalia the overall product that a phone company offers Tigo wanaweza mchezo. Hata Halotel ni tishio kwenye data.
Bongo unajichagulia upendacho
Leo Halotel kwenya Data hata polini full kasi
 
Mkiambiwa kuna tofauti kubwa kati yetu manakataa, mnabisha na kutukana. Mkenya akiona fursa, huifuata kwa nia, akili, uwezo na nguvu zote, lakini Mtanzania anaishia kununa na kuwa mwoga mwoga kwa kila hatua, anaishia kuwa na maneno mengiiiiiii.

Vodacom ya Tanzania walitangaza uuzaji wa hisa, naona kwenye taarifa hadi wameongeza muda wa makataa/deadline yao ili walau wapate Watanzania watakaonunua hadi ziishe. Wakati nakumbuka kipindi Safaricom walitangaza hisa zao, Wakenya walipitiliza kwa asilimia 532%

Halafu ukizingatia hisa za Safaricom zilikua zaidi ya maradufu ya hizo mnazouziwa na Vodacom.

Hebu muachie Wakenya hizo za Vodacom huko, muone tutakavyotiririka na kuzifagia asubuhi kabla saa nne muda wa chai.

Adviser rules out Vodacom Tanzania oversubscription

UPDATE 2-Kenya's Safaricom IPO oversubscribed by 532 pct
Sasa mkuu utanunuaje hisa hauna uhakika wa kula jioni?

Pia tuliowengi huu mfumo wa hisa hatuujui, unapataje faida, unadaije Mali zako....kwa kifupi kwa 90% ya wabongo hatujui hisa ni nn

Wangeanza kwanza kutuelewesha huenda tungeamka
 
wakenya mimi huwaga nawaitaga mataila wa dunia hawatupagi shida sababu tushawajua....
Ni watu wa ku-exxagerate mambo...hamna kampuni itakayoipa shida Halotel in the region kwenye data! So far is the fastest growing as the newest entrant na niko sure in 2 years time itakuwa na market share ya double digits i.e. over 10% considering the massive infrastructure they r constructing.
 
@lusematic huyu @leaderofleaders huko kwao hawana choice innovation kwao ni Mpesa tu bila kuangalia the overall product that a phone company offers Tigo wanaweza mchezo. Hata Halotel ni tishio kwenye data.

We have many choices. Orange na Airtel wako na much better voice and internet packages than Safaricom.
There was a time YU was offering free calls.. Literally ZERO charges all round.
Airtel money nayo ni free kutransact, ilhali Mpesa inalipisha.

Lakini bado Wakenya wamekatalia Safaricom. It's not out of lack of choices, but rather because of convinience. We've reached a stage where calling and texting is so cheap that even if the other guy offers it for free, it's not worth your time getting up to buy another sim card.
 
Back
Top Bottom