Wakenya wameogopa kuhusu Modern Security ya JPM katika ufunguzi wa Namanga - From *********

Modern security ni kutovaa magandwa?
Lakini nchi inayo ongoza kwa mordern security ni Rwanda.. wanatumia wanajeshi wachache na hawavai magwanda.

Tanzania mlidhani wakenya wataanzisha vita? Kwa nini kupeleka jeshi lote namanga?
 
Hahahahaha lete ushahidi kama Kenya mnayo hiyo Jammer, punguza wivu na kama hamna lazima mkibali kwamba hamna, sio kila kitu kilichopo Tanzania ni lazima kiwepo Kenya, mwisho wa siku mnasema hata Kenya kuna Mlima Kilimanjaro
Si lazima ifanane hivo ndo owe bomb jammer. Hata zile land cruiser za Uhuru kuna bomb jammer kati yao. Ni vile hawaonyeshi
 
Huhuhu ushamba iko Kwa damu
 
Amebeba feya😂😂😂😂😂 kupigana na gaidi nayo. Haha watu hawana akili enyewe
 
Hahahahaha lete ushahidi kama Kenya mnayo hiyo Jammer, punguza wivu na kama hamna lazima mkibali kwamba hamna, sio kila kitu kilichopo Tanzania ni lazima kiwepo Kenya, mwisho wa siku mnasema hata Kenya kuna Mlima Kilimanjaro
Si lazima kila kitu ikue exposed jinsi nyinyi mnavyojionyesha. Hayo magari yako. Na sio moja.
 
Imagine soldiers wanakufa wakiwa kwa peace keeping [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]....Na sasa Kwa vita kama ya Somalia si watakufa wote
Hahahahahaha, juzi askari 4 wa USA waliiliwa Niger katika peace keeping mission. DRC tulishamaliza kazi sasa hivi tinafagia tu.
 
What did you just say?😂😂
 
Anajilinda na nani, wanunuzi wa korosho au wapiga kura wake, mimi naona tatizo ni roho yake, tuu kenya kuna alshaabab, lakini utamuona kenyatta anakwenda muthaiga, naendesha gari mwenyewe, hana haja ya kuwaogopa wapiga kura wake
Wtakupasha kwa kusema ukweli
 
Pamoja na ulinzi huo wote mtu akiamua kumua rais ni simple sana mkuu,sema na yeye lazima afe,je kuna mtu yupo tayari kufa? Tanzania hatujafikia chuki za namna hiyo......Misuse of resources tu.

Natoa mifano miwili.
1.Wa kwanza yule aliyemzaba kibao Mwinyi,Pamoja na ulinzi wote ule lakini alifika mbele na kumchapa kibao Mwinyi,Funzo mtu mwenye nia ovu hauwezi kumjua moyoni kwake ana nia gani,kwenye mkusanyiko mtu anaweza akawa amekoki 9mm risasi ipo chamber tayari,akipeleka juu ndani ya skunde 3 tu yashakua mengine,hata hao walinzi wakiwaza kitu gani kimetokea historia ishabadilika.

2.JK alishawahi kuvamiwa kanda ya ziwa huko na mwananchi wa huko...Kwahiyo kuna chance sana kwa hawa viongozi kukutana na raia,ndani ya hao raia kama kuna mtu ana nia ovu naweza akafanya mambo.
 
RPG kama zile za Al shababu hazipiti kwenye hiyo Jammer vehicle??? Au inaweza Zuia raser beam from satelite ???
 
Acha kudanganya watu, Kenya mpo na Land cruiser moja ambayo ni bomb detector pekee, huwa inatangulia mbele kabisa katika msafara wa Uhuru Kenyatta, ndio hiyo yenye red indicator inayoonyesha, just bomb detector, sio Jammer hiyo.
 
Haya mashindano ya Kenya na Tanzania ipo siku mtu atazibuliwa WALLAH ni suala la muda tu.
 
Si lazima kila kitu ikue exposed jinsi nyinyi mnavyojionyesha. Hayo magari yako. Na sio moja.
Nimekuelewa sanaa, kumbe sio lazima kila mlima Kilimanjaro lazima uonekane, hata Kenya kuna mlima Kilanjaro, tena sio mmoja, mingi tu, are happy?. Hahahahaha
 
Wewe nani kakwambia hao wa tz huwa wanatoka, umewaona wakitoka
 
Hivi hilo li chevrolet lenye antenas, lina kazi gani? Wajuzi kama mpo mtujuze.
Mkuu hizi antena ni kwa ajili ya Signal jammers inapaswa anapopita mkuu Radius fulani network iwe blocked kuepusha wireless transmission ili kuepusha Vilipuzi au mabomu yanayo kuwa switched wirelessly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…