Wakenya wanajua kuitumia ardhi kwa manufaa zaidi kuwazidi Watanzania?

Hiyo bureaucracy nafikiri ipo pia kwenye ununuzi wa korosho na pamba. Inafanyika hivyo kwa manufaa ya nani?
Kuna mlolongo sana. Kuna wakati nliwahi kutala safirisha ngozi ya ng'ombe kwenda japan ambayo tayari ishakuwa leather. Hiyo process sasa. Huko wizara ya mifugo wanakotoa vibali yani kwanza unaulizwa kakutuma nani yani bila woiso nahisi ningezungushwa mpaka nikome.
Tanzania kuna urasimu mkubwa wa vitu vya kijinga sana.
 
Pole sana mkuu.

Nafikiri pia kuna typing error hapo juu: "woiso"
 
😂😂😂

yaani anayekuuliza tu unajua huyu haulizi ili nayeye ajue soko,hapana anauliza kwa sababu yeye ni tutusa.
 
Kwanza elewa tofauti ya "farmer", "peasant" na "Gardner" kisha uje kutuelezea kuhusu kilimo.
 
Hapo ukienda kwa backup ya waziri au yule mstaafu haina shida kabisa.
 
Umesema kwelii tupu,sijui tunanasukaje akili za kichawi,dini,mpira,matukio ya mwendokasi ndio tunavyovijua kwa weledi.
 
Kwanza elewa tofauti ya "farmer", "peasant" na "Gardner" kisha uje kutuelezea kuhusu kilimo.
Nimeshaeleza kile ninachokifahamu madam. Karibu na wewe uchanganue hizo tofauti kwa maslahi mapana ya wana JF.
 
Nimeshaeleza kile ninachokifahamu madam. Karibu na wewe uchanganue hizo tofauti kwa maslahi mapana ya wana JF.
Sidhani kama ana cha kuchangia hapo kwani yeye mada zake ni zile za kidini tu.
 
mkuu sio kiwango cha elimu,usiwe mfata mkumbo.

kilichowafanya wakenya kuwa walivyo ni kuishi kipindi kirefu na ngozi nyeupe,ukiangalia hata maeneo mengi ambayo ni mazuri kwa kilimo wamekava wazungu zaidi.
kwanini mkenya asiige kutoka kwao!
Hiyo inaweza kuwa moja tu ya sababu lkn kikubwa ni elimu, ebu panda basi la abiria kule Kenya halafu sikiliza michapo yao jinsi wanavyoongelea maswala yao ya kiuchumi, kimaendeleo na kisiasa, utashangaa kwamba hii ndio nchi inayosemwa kwamba ni ya kikabila, yaani rais anakosolewa waziwazi na jamii yake jinsi anavyoiangusha Kenya.

Wakati watanzania tumefundishwa kwamba serikali ni ya kusifiwa tu lkn kwa wakenya hilo halipo hadi majuzi rais wao analalamika kanisani kwao kwamba wakenya sasa wanatakiwa waongozwe tu na malaika labda ndio wanaweza walau kutulia japo kidogo.
 
Sidhani kama ana cha kuchangia hapo kwani yeye mada zake ni zile za kidini tu.
Mkuu, usimchukulie poa madam FaizaFoxy, ana exposure kubwa sana. Nasikia alishawahi kuishi ughaibuni. Akiamua kuegemea upande wa dini ni kwa sababu kaamua kufanya hivyo na si kwamba hajui mambo mengine zaidi ya dini.
 
Kwa suala la self awareness, Wakenya wanaongoza.
 

Hapo mpaka unapata goosebumps ukijaribu kujenga picha
Uhakika Ni kwamba watu wanaohustle hawana muda na kujibizana mitandaoni,wengi wetu humu Ni Debe tupu
Ila kiukweli hata hapa Tanzania kuna watu wanapata pesa nyingi saana Kupitia kilimo na wanaishi low profile
 
Huu ndio usenge tunaoulaani
Yaani Sisi tupo kama watu tuliolaanika, kila kitu chetu tunakifanya kua kigumu
Sasa mtu unaomba kibali halafu liswahili mwenzako linakuwekea uzibe
Hua natamani kuyaulia mbali mabwege kama hawa
 
Mkuu, usimchukulie poa madam FaizaFoxy, ana exposure kubwa sana. Nasikia alishawahi kuishi ughaibuni. Akiamua kuegemea upande wa dini ni kwa sababu kaamua kufanya hivyo na si kwamba hajui mambo mengine zaidi ya dini.
We judge people here by how they argue and reason and it's on this simple analysis when someone like that woman lacks support.

It might be possible that she has never been outside of this country because no one can prove that claim as almost every subscriber to this forum uses a pseudonym instead of the real I'd.
 
Huu ndio usenge tunaoulaani
Yaani Sisi tupo kama watu tuliolaanika, kila kitu chetu tunakifanya kua kigumu
Sasa mtu unaomba kibali halafu liswahili mwenzako linakuwekea uzibe
Hua natamani kuyaulia mbali mabwege kama hawa
Ndio maana nikamwambia muanzisha mada , serikali washughulikie tu suala la kutengeneza mfumo mzuri ulionyooka na kuboresha sera za biashara ya mazao ya kilimo na kufungua fursa za masoko ya mazao kwa kuingia mikataba na mataifa ya nje .
Hamna mtu atakayeambiwa kalime , watu wataanza kumiliki ardhi na kuzalisha mazao kama hawana akili nzuri na ndio hata umasikini utapungua kwenye jamii .
Serikali wanyooshe mambo na waache ukiritimba wa kipumbavu usio na maana ,
Hii nchi inangeweza kuzalisha raia wengi na kaya zenye utajiri kupitia kilimo ila ndio ivyo tena ,Uswahili mwingi kwenye mfumo .
Kama huyo mdau wa ngozi / leather alivyosema.
Kama mkenya anakuja kununua Matango ,machungwa , spinach ,green beans , mananasi , maparachichi , papai nk na anafanya package Tu anaenda kuuza kwa super profit UK , Germany nk huko
Na ni mali anazolangua kwa wakulima wa hapa nchini , why sisi tufail ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…