wakulima waKUBWA huwaoni huku jf wako bize mi nilimtembelea mkulima mmoja kule njombe karibu na songea mbali sana, ilibii tumkague sababu aliomba maji ya mto na yanatoka kwa kibali kama una mrdi kama waKe, ana SHAMBA kubwa inabidi ma foreman wanatumia radio call kuwasiliana na wanapikipiki na ana dish la internet, na nyumba za wafanyakzi zile tunazoita kota na ametengeza umeme waKE mwemyewe na nguzo kabisa kwenda camp'
anavyomwagiia sasa shamba lake utakuta matiri makubwa kama yale ya nyuma ya trekta ila yake ni makubwa zaidi yako kama 10 hivi yameunganishwa na mabomba juu na chini na kuna motor kama 4 hivi bomba za CHNI. bomba a juu kuna sprinklers nyingi tu. Kila tairi lina njia yaKE iliyonyooka ya kupita Tairi na tairi umbali kaMA MITA 30
yaaniye kazi yake ni kuwaSHA mtambo ns matairi yote yannza Kutembe taratibu kwa pamoja kil tiri njia yake huku sprinkers zinarusha maji. ,Baada dakika kadhaa ule mtambo unakuwa umefika mwisho unaanza kurudi wenyewe yaani hpo hamna dereva unajiendeha wenyewe akati huo alikuwa amelima maharage, kabla ya hapo alilima mchaichai. Ni mswahili nna mzungu, nazni nimeelweka keyboard inasumbua.. mtu mwenye eka 500au 1000 wengi sio rahisi kuwajuaa anajichimbia bush huko na anajitoshelezakila kitu